Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli na hata kutabirika si rahisi...Playoffs za msimu huu ni ngumu...
Hayo mapenzi yawezekana yakatimia na pia yawezekana kutotimia. Binafsi sioni nafasi ya kutimia.Pamoja na kwamba ningependa ona finals ya LAC vs Nets or Bucks,
Hakua njia ya mkato nje ya timu yake kufika fainali na kushinda. Rings hazitolewi hivi hivi kama njugu.ila natamani sana mkongwe CP3 apate ring, watu wa kipaji chake si haki wamalize career zao bila ring hata moja...
Ha ha haaa...angalia usitumie vibaya kutumia haki yako ya kuota ndoto...!Final
Phoenix Suns v. Brooklyn Nets.
haina shaka
Nafasi ya Utah Jazz kushinda ni ndogo sana labda yatokee maajabu mbele ya safari. Mpaka dakika hii wako nyuma kwa point 10Wakuu vipi Utah Anashinda kweli???
LA Clippers are good na wanacheza kama mabingwa hasa! Naona na Utah Jazz nao wanaanza kujitutumua...tusubiri! Score 100-94!DAMN! Clippers!!! Seriously!? WOW! I did not expect this performance without your best player.
Mkuu tusubiri tuone yaaweza tokea maajabuNafasi ya Utah Jazz kushinda ni ndogo sana labda yatokee maajabu mbele ya safari. Mpaka dakika hii wako nyuma kwa point 10
100-90!
LA Clippers are good na wanacheza kama mabingwa hasa! Naona na Utah Jazz nao wanaanza kujitutumua...tusubiri! Score 100-94!
Ni kweli lakini huyu Jackson anawahenyesha Jazz kweli kweli, yaani leo kawa mchungu kama uchungu wenyewe!Ila hawa referees Mkuu mmhhh! Utah wakiguswa kidogo tu basi ni faulo lakini kwa Clippers wanapeta. Huyu Jackson leo accuracy yake ya 3 points iko on point. Billionaire (owner wa Clippers) shangilia yake lol! Hahahahaha