Hahaha hio bei yake ni $202,000 ina maana kwa rate ya leo ya 2319 kwa kila dola moja ni sawa na Tshs.468,438,000 hio ni hela ya kuliagiza tu!
Fanya nusu ya hio pesa unawapa TRA yani Tshs. 234,219,000 kwahio thamani halisi ya hio gari huenda ikawa ni Tshs. 702,657,000.
Hata serikali haitembelei gari za bei hio [emoji81][emoji81][emoji81] raisi mwenyewe gari za kufikia hio hela zinaweza kuwa 2 tu! Ukifuatilia deep down hio gari lazma itakuwa ya fisadi flani ambaye kanyofoa hela ndefu mahali! Imagine umekung’uta 6B za jamhuri ya mabwege then boss kafariki hamna kusumbuana tena!