Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi wana hela aisee! 700M ni hela nyingi sana kwa mtu kuingiza kwa hali ya kawaidaSio lazima fisadi.
700M kuna wabongo wengi wanaweza kuafford kuwa nazo.
Wafanyabiashara wengi hapo kkoo wanalaza faida ya 700M kwa mwaka.
Income inequality ni kubwa sana bongo.Basi wana hela aisee! 700M ni hela nyingi sana kwa mtu kuingiza kwa hali ya kawaida
Kweli, hapo yaani hata pisi kali ukiipa lift, hauhitaji kurusha ndoano, mnyama ushafanya kazi yake kitambo tu 😂 😂 😂Hiyo gari tamu sana. Ila naona kama ipo underpowered kidogo.
Wangeiongezea hata 100hp hivi uwe mbabe njiani.
Uwoga mwingi, uonekane na gari kali ilhali una kiji duka cha hardware. Utafuatiliwa chini chini na wasiojulikana, watake kujua unatoa hela excess wapi. Bora amani!Income inequality ni kubwa sana bongo.
Nakuhakikishia wabongo wengi tu wanaweza magari makali sana.
Ila tuna woga na kukosa exposure.
Gari za 200-300M ingekuwa kitu cha kawaida sana bongo.
Ndio maana hupati kumbe 😂😂😂 (joke).. kwa mawazo hayo . Anaona ukizipata utawapiga sanaaaaa...uwe na kama hiyo Maybach.. sio utatombe.aa kabisaaa videmu vyetuKweli, hapo yaani hata pisi kali ukiipa lift, hauhitaji kurusha ndoano, mnyama ushafanya kazi yake kitambo tu 😂 😂 😂
😂 😂 😂 😂 😂 😂 Aaah wapi, mi sinaga hayo! 🤣Ndio maana hupati kumbe 😂😂😂 (joke).. kwa mawazo hayo . Anaona ukizipata utawapiga sanaaaaa...uwe na kama hiyo Maybach.. sio utatombe.aa kabisaaa videmu vyetu
Ulitakiwa umalizie mzee “wa kichaga” sababu mzee wangu alikuwa na dream ya kusukuma Jeep i’ll get that one for his wisdom! That was on 1980’sHivi unajua ilivyo ngumu kumtenganisha Mzee na rav 4 old model?
Wambie watupe deal hata moja site hukoWafanya biashara wanapesa. Mie nilipata kazi sehemu ku supply power generator kadhaaa kama dalali mtu kati Technical consultant.. yule mwamba alie nipa hiyo order ana mawe amenanyua ghorofa tano kwa mpigo na kila moja ukiangalia zile tathimini zake zina zaidi ya thamani ya 7 billion.. kwa kila jengo.. lakini mwamba kanyanyua zote kwa mpigo alafu bado jank tu.. hapo mie tu wakala kwa kila gen set moja ila kuwa ina cost zaidi ya 222 million na zilikuwa tano..
site zipo nyingi tu mkuu 😀😀.. na mie soon nitakorofisha njiani nipaki E350.. kidogo na mie nifananie na wenye magariWambie watupe deal hata moja site huko
Muhimu! 👍site zipo nyingi tu mkuu 😀😀.. na mie soon nitakorofisha njiani nipaki E350.. kidogo na mie nifananie na wenye magari
Hebu nicheki DMsite zipo nyingi tu mkuu 😀😀.. na mie soon nitakorofisha njiani nipaki E350.. kidogo na mie nifananie na wenye magari
Na wao wanakwambia vijana wa sasa ni maskini kws sababu "they buy things they can't afford'.Exposure ndo tatizo.
Wengi ni wale mabaki ya enzi za ujamaa wanaoona kila kitu ni anasa kwao.
umepatia... japo siyo wa kichaga ila ni wa kaskazinUlitakiwa umalizie mzee “wa kichaga” sababu mzee wangu alikuwa na dream ya kusukuma Jeep i’ll get that one for his wisdom! That was on 1980’s
Wrangler or Cherokee?Ulitakiwa umalizie mzee “wa kichaga” sababu mzee wangu alikuwa na dream ya kusukuma Jeep i’ll get that one for his wisdom! That was on 1980’s
sawaHebu nicheki DM
Model X 75 D... Mnyama ndo huyo! Fully autoTesla ipo EA pia. Mhindi kaliingiza KE toka UK.
ukiingiza humu pisi .. inakuvua nguo yeneyewe eeh
😂 😂 😂 😂 😂 😂ukiingiza humu pisi .. inakuvua nguo yeneyewe eeh
ee