Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
- Thread starter
- #61
Uoga wa spare, ufundi n.k.Uwoga mwingi, uonekane na gari kali ilhali una kiji duka cha hardware. Utafuatiliwa chini chini na wasiojulikana, watake kujua unatoa hela excess wapi. Bora amani!
Watu wanasahau hayo magari yakiwa mengi na mafundi wanaongezeka.