Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Wafanya biashara wa K.koo wana siri zao. wengine wanatumika pesa sio zao, na wapo ambao pesa zao. ndio hao wenye ndiga za heshima Nimekuwa famiLia kidogo na wafanya biashara wa huko japo sio.wote.. ila.wengine ni chawamzee ana hela siyo mchezo
mtu anaemiliki mjengo kariakoo na kumwaga kontena za mizigo
miradi ya maelfu ya mifugo
processing industry
sheli
siyo wa kushindwa kuchukua huyo mnyama
anang'ang'ania wizard
ππ
Alaf kuna yule wa hilux double cabin old model[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi unajua ilivyo ngumu kumtenganisha Mzee na rav 4 old model?
heee kama umejua vileAlaf kuna yule wa hilux double cabin old model[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
namzungumzia mtu ninaemfahamu sehemu ya familiaWafanya biashara wa K.koo wana siri zao. wengine wanatumika pesa sio zao, na wapo ambao pesa zao. ndio hao wenye ndiga za heshima Nimekuwa famiLia kidogo na wafanya biashara wa huko japo sio.wote.. ila.wengine ni chawa
Gari kama hii kwa madimbwi na Bumps za Dar lazima uwe unaitembeza kwa 30KPH ndio uta enjoy.Mwendo wa kunyata...Extrovert Isanga family RRONDO ..
naona mtanzani mwenzetu kashusha Merced Maybach nasikia...
View attachment 1750610
dah! Huyo kweli ana mambo ya kijima πππnamzungumzia mtu ninaemfahamu sehemu ya familia
yeye ujinga wake ni kuwekeza pesa kwenye miradi ya watu.,, ila sijui gari sijui starehe hayumo kabisa
mwenye hiyo gari sidhani kama anakaa hayo maeneo yenye hayo majanga, pili ni mtu ana gari zaidi ya moja .. hata SUV atakuwa nazo piaGari kama hii kwa madimbwi na Bumps za Dar lazima uwe unaitembeza kwa 30KPH ndio uta enjoy.Mwendo wa kunyata...
Hahaha hio bei yake ni $202,000 ina maana kwa rate ya leo ya 2319 kwa kila dola moja ni sawa na Tshs.468,438,000 hio ni hela ya kuliagiza tu!Pia, ukiweza toa 600M ya kununua gari hushindwi toa 600 ingine kulilipia kodi.
Wafanya biashara wanapesa. Mie nilipata kazi sehemu ku supply power generator kadhaaa kama dalali mtu kati Technical consultant.. yule mwamba alie nipa hiyo order ana mawe amenanyua ghorofa tano kwa mpigo na kila moja ukiangalia zile tathimini zake zina zaidi ya thamani ya 7 billion.. kwa kila jengo.. lakini mwamba kanyanyua zote kwa mpigo alafu bado jank tu.. hapo mie tu wakala kwa kila gen set moja ila kuwa ina cost zaidi ya 222 million na zilikuwa tano..Hahaha hio bei yake ni $202,000 ina maana kwa rate ya leo ya 2319 kwa kila dola moja ni sawa na Tshs.468,438,000 hio ni hela ya kuliagiza tu!
Fanya nusu ya hio pesa unawapa TRA yani Tshs. 234,219,000 kwahio thamani halisi ya hio gari huenda ikawa ni Tshs. 702,657,000.
Hata serikali haitembelei gari za bei hio πΉπΉπΉ raisi mwenyewe gari za kufikia hio hela zinaweza kuwa 2 tu! Ukifuatilia deep down hio gari lazma itakuwa ya fisadi flani ambaye kanyofoa hela ndefu mahali! Imagine umekungβuta 6B za jamhuri ya mabwege then boss kafariki hamna kusumbuana tena!
$29000k duh mbona kwa wengine mtambo rahisi huu, alafu umekita freshi kinyama!Specs:
2.4litre naturally aspirated engine
Hp: 240
Torque: 184lb-ft
0-60 in 6.3 secs
Price: $29,000
View attachment 1744818View attachment 1744819View attachment 1744820View attachment 1744821
Hahahahah watu wana Mawe kmmmk sio masihara! Mtu ananyanyua floor 10/10 kwa mpigo aisee! Hao wafanyabiashara unakuta mtu hela aliikuta anaiendeleza ni wale wa upande wa viwanda au construction!Wafanya biashara wanapesa. Mie nilipata kazi sehemu ku supply power generator kadhaaa kama dalali mtu kati Technical consultant.. yule mwamba alie nipa hiyo order ana mawe amenanyua ghorofa tano kwa mpigo na kila moja ukiangalia zile tathimini zake zina zaidi ya thamani ya 7 billion.. kwa kila jengo.. lakini mwamba kanyanyua zote kwa mpigo alafu bado jank tu.. hapo mie tu wakala kwa kila gen set moja ila kuwa ina cost zaidi ya 222 million na zilikuwa tano..
Tesla ipo EA pia. Mhindi kaliingiza KE toka UK.Extrovert Isanga family RRONDO ..
naona mtanzani mwenzetu kashusha Merced Maybach nasikia...
View attachment 1750610
Contruction kutajiri rahisi sana, mie nina washkaji zangu wakandarasi V8 au hizi Range River Autobio.. kwao issue za kawaida sanaa.. kasoro mie tu ndio sisomeki kmmmk.. πππ.. Wengine watu madini , na wanao fanya supply ya madude umeme, ujenzi IT.. kmmae hao watu huwa ni ghafla binvuu huwa maisha yao hubadirika deal nono zinapo ingia kwenye 18 zao.. na unakuta wanaanza from zeroHahahahah watu wana Mawe kmmmk sio masihara! Mtu ananyanyua floor 10/10 kwa mpigo aisee! Hao wafanyabiashara unakuta mtu hela aliikuta anaiendeleza ni wale wa upande wa viwanda au construction!
Kenya mpo juu maana pia mna Bugati.. huku Tziiii TRA wanauaaaTesla ipo EA pia. Mhindi kaliingiza KE toka UK.
Hata Kenya KRA wanachinja haswa, wenye kuleta haya magari sio watu hivi hivi, wana hela ka njugu kummmmk, yaani hata kulipa KRA sio shida. Wao wanajua wanakuja vimba nyumbani sababu wako unique, hutopata kwingine gari analonunua. Wacha nisake hela mkuu! π€£ π€£ π€£Kenya mpo juu maana pia mna Bugati.. huku Tziiii TRA wanauaaa
kummmmmk sasa na sie tufanyaje tuwe vitu vikali na unique hata kitaani tu πππ.. kuwa unique kwa nchi nzima kazi..Hata Kenya KRA wanachinja haswa, wenye kuleta haya magari sio watu hivi hivi, wana hela ka njugu kummmmk, yaani hata kulipa KRA sio shida. Wao wanajua wanakuja vimba nyumbani sababu wako unique, hutopata kwingine gari analonunua. Wacha nisake hela mkuu! π€£ π€£ π€£
Hahaha, wacha tununue vya kichina tu, haina budi πkummmmmk sasa na sie tufanyaje tuwe vitu vikali na unique hata kitaani tu πππ.. kuwa unique kwa nchi nzima kazi..
Hao ni kina babu zetu, ana hela kichizi lakini hata shilingi ukiomba hupati π€£π€£π€£ wacha nitengeneze zangu, zipate tumika kishuaExposure ndo tatizo.
Wengi ni wale mabaki ya enzi za ujamaa wanaoona kila kitu ni anasa kwao.
Sio lazima fisadi.Hahaha hio bei yake ni $202,000 ina maana kwa rate ya leo ya 2319 kwa kila dola moja ni sawa na Tshs.468,438,000 hio ni hela ya kuliagiza tu!
Fanya nusu ya hio pesa unawapa TRA yani Tshs. 234,219,000 kwahio thamani halisi ya hio gari huenda ikawa ni Tshs. 702,657,000.
Hata serikali haitembelei gari za bei hio [emoji81][emoji81][emoji81] raisi mwenyewe gari za kufikia hio hela zinaweza kuwa 2 tu! Ukifuatilia deep down hio gari lazma itakuwa ya fisadi flani ambaye kanyofoa hela ndefu mahali! Imagine umekungβuta 6B za jamhuri ya mabwege then boss kafariki hamna kusumbuana tena!