2021 Toyota GR 86

Income inequality ni kubwa sana bongo.

Nakuhakikishia wabongo wengi tu wanaweza magari makali sana.

Ila tuna woga na kukosa exposure.

Gari za 200-300M ingekuwa kitu cha kawaida sana bongo.
Uwoga mwingi, uonekane na gari kali ilhali una kiji duka cha hardware. Utafuatiliwa chini chini na wasiojulikana, watake kujua unatoa hela excess wapi. Bora amani!
 
Kweli, hapo yaani hata pisi kali ukiipa lift, hauhitaji kurusha ndoano, mnyama ushafanya kazi yake kitambo tu 😂 😂 😂
Ndio maana hupati kumbe 😂😂😂 (joke).. kwa mawazo hayo . Anaona ukizipata utawapiga sanaaaaa...uwe na kama hiyo Maybach.. sio utatombe.aa kabisaaa videmu vyetu
 
Wambie watupe deal hata moja site huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…