2023/24 Simba hajashinda hata moja

2023/24 Simba hajashinda hata moja

Tangu msimu huu uanze Simba ameshacheza mechi tatu za kimashindano (vs Power dinamo na Al Ahly). Kati ya hizo, Ametoa sare zote na ameruhusu magori ktk kila mechi. Hii maana yake ni nini? Wajuvi niambieni.
Tafsiri yake inawaumiza Mioyo Wanasimba... Kimataifa hakuna Tatu Malogo....

Timu ya Simba itashinda mechi za TFF kwa usimamizi wa Tatu Malogo mkakati.

Timu Objektivu ni chovu...

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Soma hapa👇 utaelewa.
images (3).jpeg
 
Kwasababu inakukumbusha maumivu?

Bado upo kwenye kujitafuta kujua wapi Ihefu alikuzidi, at the same time unakutana na Al Ahly

Tutakuwepo siku hiyo
Bado nje ya mada
 
Back
Top Bottom