2023/24 Simba hajashinda hata moja

2023/24 Simba hajashinda hata moja

Kwa ninavo wafahamu mashabiki wa hii timu hautapata majibu ya hoja yako
 
We ni Uto Unajulikana....!

Nakupa Ka Home work Kadogo tu Leo..

Taja Kirefu cha AFL...! na hautoboi hapo,wenye akili ni Wa2 tu huko...
Mbumbumbu pungunguza povu, jibu hoja kabla ya kumshambulia mleta hoja.
Ni swali zuri na la msingi kwa wadau kujiiza.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
NILIWAAMBIA SIMBA WAJIANDAE KISAIKOLOJIA.

Mzee wangu unapenda Ukuu sana.
Wote tushayazungumza haya tukayaacha.
Asa wewe kila pahala unataka kuchomekea story zako hizi.
Kila uzi wa Simba unataka kuonekana ulisema, yaani kiufupi umekuwa kero.
 
Back
Top Bottom