2023/24 Simba hajashinda hata moja

2023/24 Simba hajashinda hata moja

Na leo wamesale pamoja na kuruhusu goli
 
Simba ikubali tu wanapitia kipindi cha mpito...kwa sasa wanajitafuta kama yanga kipindi kile cha bakuli
 
Mkandaji nimebadilishiwa jina na mods na nyuzi zangu za kuomba warudishe jina langu pendwa la KIBU DEE MTOMBANGILE pia wamezifuta kuhofia hali ya diarra inaweza kuwa mbaya zaidi
Daaaah
 
Tangu msimu huu uanze Simba ameshacheza mechi tatu za kimataifa (vs Power dinamo na Al Ahly). Kati ya hizo, Ametoa sare zote na ameruhusu magoli katika kila mechi. Hii maana yake ni nini? Wajuvi niambieni.
Ukiruusu bao halafu mechi ikaisha kwa sare maana yake ni kwamba na wewe ulipata bao. Kwa lugha nyingine, Simba imepata bao katika kila mechi hizo. Hii maana yake ni nini? Wajuvi niambieni.
 
Back
Top Bottom