2023/24 Simba hajashinda hata moja

2023/24 Simba hajashinda hata moja

Tangu msimu huu uanze Simba ameshacheza mechi tatu za kimataifa (vs Power dinamo na Al Ahly). Kati ya hizo, Ametoa sare zote na ameruhusu magori ktk kila mechi. Hii maana yake ni nini? Wajuvi niambieni.
Ngao ya Hisani pia hakushinda hata mechi moja, ila akaibeba! TFF na CAF wanaipendelea Simba 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom