mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
kiungwana tu, ila wakishachukua hela huwasikii tenaAhahaha..pole sana kamanda. Ulikua unakopesha kibishara na riba au kiungwana tu?
Maana kuna mtu alionyaga kwamba mzee hizo mambo zinahitaji mbavu haswaaaa za kukopesha kopesha pesa
Daah!!! Hilo ndio tatizo letu watu weusi. Uaminifu sifuri kabisaakiungwana tu, ila wakishachukua hela huwasikii tena
This is inspiring chief. Nimepata idea ya kufanya toka katika maelezo yako.Namshukuru MUNGU ameniwezesha kuwasaidia watu katika magonjwa na misiba ambapo niliweza kusaidia misiba miwili kijijini kwetu kikamilifu kwa kuchangia gharama za mochwari,usafiri ,mazishi na chakula.
Pia niliweza kusaidia matibabu ya wagonjwa kadhaa wa kijijini kwetu kwa kuchangia matibabu katika dawa ,usafiri na chakula kwa wagonjwa.
Na bila kusahau wanafunzi mbalimbali hasa wa shule za msingi na sekondari waliokuwa wanaanza masomo yao kwa kuchangia nauli, sare na madaftari.
Namshukuru sana MUNGU wetu kunipa ujasiri wa kutochangia sherehe mbalimbali kama vile sendoff,harusi,kipaimala,birthday,n.k.
Nimefarijika sana kwa hili na Mungu atubariki wote wenye moyo kama huu kiachana na masheikh,wachungaji,maaskofu,nk wanaofuga matumbo yao kwa kiwanyonya maskini ambao hawawachangii katika matatizo yao.
i know i know hope 2024 will treat us better tutamalizana vzuriThanks..ila mimi na wewe hatujamalizana bado π
Hizi kamba hizi..tena za mchana kweupeee πi know i know hope 2024 will treat us better tutamalizana vzuri
Hizi kamba hizi..tena za mchana kweupeee πi know i know hope 2024 will treat us better tutamalizana vzuri
This is inspiring chief. Nimepata idea ya kufanya toka katika maelezo yako.
UJue kuna vitu vingine ni non costful kabisaa na viko ndani ya uwezo wetu watu wengi but we overlook them
Like ukaamua ku support hata wanafunzi wa 5 tu wanao soma shule za serikal ambao their families cant afford to support them, unapungukiwa nini?
Ujue ukienda humu mashulen, kuna watoto their families cant afford even silple stuffs like shoes, madaftar even uniforms...
U really did a gud thing..thanks
Yah sure.. the reason really makes a lot of senseNiliamua hivyo baada ya kupata shida sana utotoni na kusoma kwa kufanya vibarua kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha huku nikiahirisha mwaka wa masomo mara kwa mara hivyo nilivuta taswira ni kwa jinsi gani watu wa makundu haya wanapata shida.
Nimekopesha sana huu mwaka aisee, japo nimetapeliwa sana lakini nao si msaada?
ko hutakiπππHizi kamba hizi..tena za mchana kweupeee π