Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
-
- #281
Suala sio kuwabania suala ni kuwakumbusha wajibu wao. Hii kupuuzia puuzia kwa kuona iyo hela ni ndogo tumefika hatua wanawake wanaona kupewa hela ni haki yao. Hatuwezi kutengeneza kizazi cha kausha damu.Bosss kwani ukimlipia elfu 10 ya luku utapungukiwa nini? Kwa mwaka wenye wiki 52
Unazani wanaume wote tukiwa hivyo, hawa watu wataweza survive kweli??
Weekend hii naelekea Boschendal wine estate, kutumia ⅒ ya huko benki
Kausha damu mwingine huyu hapa
Mimi ni mjaluo wa ButuriWe utakuwa Mwanaume wa Arusha tu
Kutawanya pesa kuwafurahisha kausha damu sio kipimo cha utajiri mdogo angu.Kati ya mama yangu na mama yako aliyezaa fungu la kukosa kama wewe ni nani mpumbavu, ninyi wenyewe masikini wa kutupa ila kutwa kuwasema wanawake masikini kana kwamba ninyi mna hela, na huo ndio ukweli mchungu tafuteni hela karne hii hakuna kupendwa wala kuonewa huruma majnuni nyie
Wewe ni kausha damu tu huna lolotePesa zipi hizoo kwa mfano? vi elfu 10 vya mawazo,shenzy kabsa mwanaume mwenye pesa huezi kuta kwenye uzi kama huu akikaza fuvu nye nye nyee,sana sana ni wale wanaosikilizia michongo vijiweni vibarua,au wale wajobless ndo wapo humu wanatokwa mapovu na matusi juu.Narudia tena umaskini mbaya na ni roho mbayaaa.Nashukuru Mungu kwa kunitoa kwenye hilo janga sitegemei pesa za mawazo kuishi najitosheleza haswaaa.Vipi umeshapata Chai au nikutumie?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aiseee.!Demu mwenye msambwanda kuwa mvivuu inakeraa maraa 1000 bora asiwe nalo tyu.. Unakutaa limejilaza hapo pembenii kama linguruwe poroii.
Naomba laki 2Aloo kuna watu mnabahati
Yaan unapigwa mzinga wa laki2[emoji28][emoji28][emoji28]
Sawa niletee kaka yako nimle kibogaWe tafuta mwanaume mwenzio wanawake hutuwezi
Kama mwanaume kaamua mwenyewe kumpa mwanamke ama wanawake zake pesa anazotafuta kwa jasho lake shida ipo wapi? Na pia kama mtu hataki kumpa pesa mwanamke si anaacha tu mbona ni kitu rahisi sana jamani mana kutoa pesa si lazima.Suala sio kuwabania suala ni kuwakumbusha wajibu wao. Hii kupuuzia puuzia kwa kuona iyo hela ni ndogo tumefika hatua wanawake wanaona kupewa hela ni haki yao. Hatuwezi kutengeneza kizazi cha kausha damu.
😄😄Hali mbaya mzee.ukipiga mahesabu ni bure uende ununue tu.Vijana mmevulugwa haki..[emoji23][emoji23]
Hata akifanya anaweza asikusaidie.Msimamo huu uwe hivyo hivyo.
Tukiondoa sex, mwanamke hana cha kusaidia kama hafanyi kazi
Ndipo tulipofika uko kaka yangu. Wanawake wanaona kupewa pesa na mwanaume ni haki yao ya lazima ambayo ni lazima waipate. Mwanaume pesa zako umetafuta kwa jasho lako lakini usipompa unaitwa shenziKikubwa umaskini unaanziaga kichwani na unaishiaga kwenye kukwepa uwajibikaji. Sasa kama mtu mzima unakwepa kuwa responsible na maisha yako unataka vya dezo tu you must be the real problem. Mwanaume akubebee mizigo yako kama nani
Kausha damu lazima wapigwe vita hawa ni wakina mama na dada za watu hivi mabinti na wadogo zao wakiona yanayoendelea wanajifunza nini? Matokeo yake watoto wa kike hawataki shule wala kujishughulisha na shughuli halali za kuwapa kipato wakijua kudanga kunalipa, na tunaongea haya sio kwamba tunawaonea uwivu ila tunawalinda pia huko kwenye viwanja vya starehe mabinti wadogo wanaleweshwa pombe na kuishia kuingiliwa kinyume na maumbile wakiwa hawajielewi hii yote ni kuendekeza vya bure, wangeenda kiwanja kwa gharama zao kuanzia usafiri, chakula, vinywaji n.k wangekua hawafanyiwi haya matendo. Hatuwezi kutengeneza kizazi cha kausha damu eti kwa sababu wanaume wanatoa hela kwa hiyari yao sio wanaume wote wanawapa hela kwa mema wengine lengo lao ni kuwafanyia maovu.. Mwanamke lazima akumbushwe kuwajibika.Kama mwanaume kaamua mwenyewe kumpa mwanamke ama wanawake zake pesa anazotafuta kwa jasho lake shida ipo wapi? Na pia kama mtu hataki kumpa pesa mwanamke si anaacha tu mbona ni kitu rahisi sana jamani mana kutoa pesa si lazima.
Ayaaaa😂😂Naomba laki 2
Sawa.Kausha damu lazima wapigwe vita hawa ni wakina mama na dada za watu hivi mabinti na wadogo zao wakiona yanayoendelea wanajifunza nini? Matokeo yake watoto wa kike hawataki shule wala kujishughulisha na shughuli halali za kuwapa kipato wakijua kudanga kunalipa, na tunaongea haya sio kwamba tunawaonea uwivu ila tunawalinda pia huko kwenye viwanja vya starehe mabinti wadogo wanaleweshwa pombe na kuishia kuingiliwa kinyume na maumbile wakiwa hawajielewi hii yote ni kuendekeza vya bure, wangeenda kiwanja kwa gharama zao kuanzia usafiri, chakula, vinywaji n.k wangekua hawafanyiwi haya matendo. Hatuwezi kutengeneza kizazi cha kausha damu eti kwa sababu wanaume wanatoa hela kwa hiyari yao sio wanaume wote wanawapa hela kwa mema wengine lengo lao ni kuwafanyia maovu.. Mwanamke lazima akumbushwe kuwajibika.
Kabisa.dunia imebadilika kila mtu ajipambanie wao kuomba pesa kwa mwanaume wanaona wameomba kitu kidogo sana.Ndipo tulipofika uko kaka yangu. Wanawake wanaona kupewa pesa na mwanaume ni haki yao ya lazima ambayo ni lazima waipate. Mwanaume pesa zako umetafuta kwa jasho lako lakini usipompa unaitwa shenzi