2024 usimfanyie mwanamke financial favour yoyote

Nimefanya utafiti nimegundua mabinti wengi huwa wanapanga matumizi ya hovyo kwa kutumia hela za mwanaume au wanaume wanaowafukuzia ila never yeye kutumia hela yake binafsi kula bata au kununua vitu visivyo na mbele wala nyuma.

Binti anaweza kuwa na milioni kwenye account ila akaumwa atakupigia simu wewe mwanaume umpeleke hospital kwa gharama zako. Pesa yake atakwenda fanya mambo yake ya maendeleo kama biashara, kununua kiwanja na kadhalika.

So naungana mkono na mleta uzi kuwa huu mtego tuuepuke vijana.

Kama una mwanamke wako mnaishi na anashiriki utafutaji na wewe na kila anachokipata anaweka mezani na yupo very loyal kwako then toa shaka huu uzi haukuhusu ila kama ni bado una search for the one na unakutana na hawa freemasons then kaza uwezavyo ni heri ukitaka utelezi ukanunue kahaba ambaye mtamalizana same day kibiashara kuliko kuwa na Kupe anaekunyonya na ukitazama mahusiano yenu sio rasmi na wala hana msaada wowote kwenye mapato yako zaidi ya kukutumia.
 
Now days relationship is a trap. Jikute gentleman au nice guy kausha damu hawatakuacha salama.
Wajinga wapo wengi sana huku mtaani. Ndio maana mabinti wanaendelea kufanya ujinga mwingi sababu kuna kundi kubwa na wanaume na vijana wanaosponsor ujinga wao.

The day vijana na wanaume wakianza kuwa conscious na maamuzi yao na kuacha matumizi ya hovyo na kuelekeza vipato vyao katika maendeleo binafsi mtaona kasi ya mabinti kwenye udangaji ikipungua na adabu zitaanza kukaa sawa.

Ila kwasasa mabinti wanaviburi na hawana hata huruma na wanaume sababu wanajua kuba mabwege wengi ambao wakiona tu chupi, tako, upaja, matiti, kitovu, basi wanavurugwa akili wanakuwa tayari kutoa chochote ili tu wapate access ya kushika na kuuchezea huo mwili anbao mwisho wa siku hawataweza kuumiliki maana ni mali ya uma.

Tubadilike vijana na wanaume. Mtu wa kwanza na wa mwisho wa kucheza na pesa yako ni wewe pekee yako. Huwezi kwenda teseka siku nzima , wiki nzima, mwezi mzima halafu anakuja kichaa m'moja anakupigia simu anakwambia gesi imeisha, hajala ana njaa, au anaumwa au ana hamu ya kula chipsi yai, halafu wewe bila akili unaingia mfukoni unatoa na kutuma hiyo pesa bila kujua kuna mabwege wenzako kama wewe nao wametoa na huyu mtu yeye hana shida bali amewachezea akili tu ili apate hela za kufanyia mambo yake yasiyo na ulazima huku ninyi mkijitia hasara na madeni yasiyo ya lazima na kurudisha nyuma hatua za maendeleo yenu.

Acheni upuuzi vijana.
 
Kweli mkuu wanawake ni natural receivers hata afanye kazi pesa yake haionekani na ni wabahili wanaume ni natural giver take that.
Hamna cha natural giver wala reciever mke wangu akipiga hela ni yetu, na mimi nikipiga hela ni yetu sote. Tunainjoy tu maisha we kama umekutana na jambazi nikupe pole tu.
 
50K kwaajiri ya nywele? Bado sijashiriki upuuzi.
 
Wanaume tumeumbwa mateso bwana mkuu
Dawa yake mpe pesa, akileta za kuleta mpe tena pesa.akitaka kukuacha mpe tena pesa. Dozi ni pesa kutwa mara 3 itatibu magonjwa yote
Akili za kimatako hizi ndizo zimefanya kumekuwa na ongezeko kubwa la wadangaji sababu kuna watu kama wewe mada serious kama hizi kazi yenu ni kuleta mizaha na kuona hakuna tatizo.

Wewe kama unahela sana kasaidie yatima, na usilete story za kuwa tusikupangie matumizi ya pesa zako sababu wewe pia umekuja kutupangia matumizi ya pesa zetu.

Acha ufala.
 
mbona hasira mkuu umepata chai tangawizi leo kweli?
 
Ukute anaishi kwa shemeji ake
 
Huyu aliyesema wanaume tumeumbiwa mateso ni miongoni mwa idadi kubwa ya wapuuzi wanaojiweka kundi la wanaume ile hali hawana sifa za kiume wala hawana legitimacy ya kututolea matamko as if ni wawakilishi wetu.

Hawa ndio aina ya watu ambao hata kule Western countries walisapoti mafeminist na kupigia chapuo Sheria za child support na divorce ambazo kwasasa zinatesa wanaume wenzetu wasio na hatia yoyote na wanakosa utetezi sababu ya usenge wa hawa sampuli hii inayosema "wanaume tumeumbiwa mateso"

Wanaboa sana machoko hawa.
 
Mwongozo mzuri huu, kwenye kikao chetu cha januari hii ni agenda ya kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…