2024 usimfanyie mwanamke financial favour yoyote

Wewe ni kausha damu unatafuta angle ya kujipa faraja tu. Kausha damu kupigwa mimba na kutelekezwa ni haki yenu kabisa tena wahuni tukipata chance tunafumua malinda kabisa.
 
Wanakukausha damu ukimhitaji tu?[emoji1787]
Yani ukipiga naye stori tu tayari kashaanza "nina njaa sana" ukimwambia twende sehemu tukale msosi hukataa ila huendeleza msemo huo huo...ukishaona hivyo basi kimbia fasta hata ukianguka inuka vumilia maana hana njaa tofauti na mzinga wa chapaa "njaa ya pesa" [emoji1]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kuna baadhi ya Wanawake hawana aibu kabisa, kuna mmoja ni mshangazi classmate wa sister nilikutana nae mjini tukabadilishana namba akaanza kunisifia nimekuwa mbaba mara kunitafuta mara kwa mara nikabaki kushangaa huyu vipi, haikupita wiki ananiletea shida zake ana anaomba 1m, nilicheka na nilivyomjibu sina mpaka leo hii hajanicheki tena.
 
" Wanawake hawana msaada wowote mwanaume akifulia" hii ndio point ya msingi ambayo mwanaume yoyote yule anapaswa kuitambua.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Kucheka watu dhambi......

Kusimulia ya watu dhambi pia...🤣
 
Mi demu nilienae tulikubaliana mapena no feelings no attachement, just mbususu na akiomba pesa sio lazima nimpe kama sina anakausha au anaomba kwa wengine huko.
Ni muhimu kuwapa muongozo. Kuna mmoja nishawahi kumpelekea moto kuanzia hapo kila nikiienda maeneo ya ofisini kwake ananiambia ana njaa, akipiga simu nisipopokea au text nikichelewa kujibu tukionana tu anamaindi. Ikabidi nimwambie ukweli what happened btn us is just one night stand, don't take it serious.
 
Wanaume mara zote tunashauriwa kuoa au kuingia kwenye mahusiano na wanawake wanaotupenda, shida inakuja mwanamke anakupenda ila kwa kuwa hana sura nzuri ya kuvutia au hajajaliwa tako basi tunaamua kuwatolea nje, matokeo yake tunaishia kuwapenda wanawake tunaowapenda lakini wao hawatupendi.

Ndio hao kila kukicha wanatupiga mizinga na vituko havikomi maana wanajua tumeshapenda hatuna cha kufanya zaidi ya kutimiza yale wanayoyataka wao.

Mwanamke anayekupenda kwa dhati hata mia yako hatahangaika nayo labda wewe kama mwanaume uwajibike kama mwanaume lakini hawezi kukupiga mizinga isiyoeleweka , mwanamke asiyekupenda hawezi kuacha kukupiga mzinga na utakuta mwanamke huyohuyo anayekupiga mzinga ana mwanaume anayempenda na hamuombi hata mia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…