2024 usimfanyie mwanamke financial favour yoyote

2024 usimfanyie mwanamke financial favour yoyote

Mataperi = matapeli. Sasa ukipiga mimba ukaingia mitini si ushenzi huo? Mwanaume aliyekamilika hakimbii mimba. Cha muhimu kama wewe bado ni maskini kaa mbali na wanawake. Maskini inatakiwa tu ajiunge na CHAPUTA au akanunue changu kwa bei elekezi ya Tsh 3000.
Wewe ni kausha damu unatafuta angle ya kujipa faraja tu. Kausha damu kupigwa mimba na kutelekezwa ni haki yenu kabisa tena wahuni tukipata chance tunafumua malinda kabisa.
 
Wanakukausha damu ukimhitaji tu?[emoji1787]
Yani ukipiga naye stori tu tayari kashaanza "nina njaa sana" ukimwambia twende sehemu tukale msosi hukataa ila huendeleza msemo huo huo...ukishaona hivyo basi kimbia fasta hata ukianguka inuka vumilia maana hana njaa tofauti na mzinga wa chapaa "njaa ya pesa" [emoji1]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada uko sahihi sana i feel what u say big tym, hayo maviumbe ni maj!n! mufilisi. Hela ninayo na sioni taabu kutoa ila sitoi na sitatoa hela kwa mwanamke ambae hana chembe ya huruma, utu na ubinadamu. I observe too well i know.

Sina tatzo na kuomba hela ila kuna vitu mwenyewe na vi expect toka kwake from my care and affection nayompa ila utakuta Yani ni maviumbe flan selfish sanaa yanjiangalia yenyewe tu yani ukutane nalo moja li zembe alaf halijitumi kufanya kazi let alone kuchangia hata mawazo chanya yakukusogeza hayana ila ni kuomba hela na kutaka kukutumia tu…..

Kuna mmoja nilikutana nae kwenye harusi tuka exchange number nikaimbisha siku ya 2 mtu ananiomba laki 2 out of thin air kwamba anataka ya saloon. WTF
Nikamuambia kwa hyo wewe mtu kuwa rafiki yako hadi akupe hela.

Mtu basi omba hata 50k utaeleweka mtu siku ya pili anataka laki 2. Hahaha kweli bongo tambalalez u know. Hahaha vijana madem wa kweli wapo na madem pisi kali njaa kali ni wa kumwaga pia.
Kuna baadhi ya Wanawake hawana aibu kabisa, kuna mmoja ni mshangazi classmate wa sister nilikutana nae mjini tukabadilishana namba akaanza kunisifia nimekuwa mbaba mara kunitafuta mara kwa mara nikabaki kushangaa huyu vipi, haikupita wiki ananiletea shida zake ana anaomba 1m, nilicheka na nilivyomjibu sina mpaka leo hii hajanicheki tena.
 
Wanaume walio wengi wanaingia gharama kuwafanyia wema wanawake kwa kuongozwa na huruma ya kuwaona wanawake ni innocent and honest creatures au kujitengenezea mazingira ya kupewa mbususu.

Sikilizeni vijana, wanawake wa sasa almost wote ni mataperi, shida wanazoombea msaada wa kifedha ni uongo. Ukiombwa hela kwa ajiri ya luku, kwenda hospitali, n.k jua ni uongo na iyo text ya kuombwa hela hautumiwi peke yako, text iyo iyo moja mnatumiwa sio chini ya wanaume 20 na wanaume watakaofanya muhamala basi wanawake wanaona mafala na kuwadhiaki sana uko kwenye story zao saluni na magetoni kwao.

2024 ukimtongoza demu akichomoa move on, don't keep friendly zone she will use you as a leverage for her financial needs. Kijana mwenzangu, 2024 date na mwanamke mwenye kazi halali inayomuingizia kipato ila hawa wanaamini kutoa mbususu pekee ndio uhalali wa kukubebesha shida zake piga hit and run. 2024 say no to "relationship kausha damu"

Washkaji zako wa kiume wakikwama hata kwa mambo yasiyo na lazima kama mfuko upo vizuri walinde maana na wewe siku ukikwama watukulinda ila wanawake hapana maana wanawake hawana msaada wowote mwanaume ukifulia.

Najua kuna wadangaji, washamba wa mapenzi na waliolishwa limbwata watakuja kutapika hapa, wapuuzeni hao. Kijana mwenzangu 2024 binti wa mtu akikuletea pigo za kausha damu piga mimba ingia mitini.
" Wanawake hawana msaada wowote mwanaume akifulia" hii ndio point ya msingi ambayo mwanaume yoyote yule anapaswa kuitambua.
 
Yani ukipiga naye stori tu tayari kashaanza "nina njaa sana" ukimwambia twende sehemu tukale msosi hukataa ila huendeleza msemo huo huo...ukishaona hivyo basi kimbia fasta hata ukianguka inuka vumilia maana hana njaa tofauti na mzinga wa chapaa "njaa ya pesa" [emoji1]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣
Kucheka watu dhambi......

Kusimulia ya watu dhambi pia...🤣
 
Mi demu nilienae tulikubaliana mapena no feelings no attachement, just mbususu na akiomba pesa sio lazima nimpe kama sina anakausha au anaomba kwa wengine huko.
Ni muhimu kuwapa muongozo. Kuna mmoja nishawahi kumpelekea moto kuanzia hapo kila nikiienda maeneo ya ofisini kwake ananiambia ana njaa, akipiga simu nisipopokea au text nikichelewa kujibu tukionana tu anamaindi. Ikabidi nimwambie ukweli what happened btn us is just one night stand, don't take it serious.
 
Kama kuna thamani anayoingeza katika mahusiano yenu uyo ni sawa kabisa. Kuna wanawake wengine ukiondoa sex hakuna anacho offer kwenye mahusiano, hawa ni wale wanaamini kutoa mbususu pekee ndio uhalali wa kukubebesha gharama za shida na tamaa zake za kufukuzana na fashion za nguo na matoleo mapya ya iphone.
Wanaume mara zote tunashauriwa kuoa au kuingia kwenye mahusiano na wanawake wanaotupenda, shida inakuja mwanamke anakupenda ila kwa kuwa hana sura nzuri ya kuvutia au hajajaliwa tako basi tunaamua kuwatolea nje, matokeo yake tunaishia kuwapenda wanawake tunaowapenda lakini wao hawatupendi.

Ndio hao kila kukicha wanatupiga mizinga na vituko havikomi maana wanajua tumeshapenda hatuna cha kufanya zaidi ya kutimiza yale wanayoyataka wao.

Mwanamke anayekupenda kwa dhati hata mia yako hatahangaika nayo labda wewe kama mwanaume uwajibike kama mwanaume lakini hawezi kukupiga mizinga isiyoeleweka , mwanamke asiyekupenda hawezi kuacha kukupiga mzinga na utakuta mwanamke huyohuyo anayekupiga mzinga ana mwanaume anayempenda na hamuombi hata mia.
 
Back
Top Bottom