2024 usimfanyie mwanamke financial favour yoyote

Noma sana mzee baba. Kuna dada angu nimechangia nae mama ana binti anasoma chuo huwa namchangia ada ni hela kidogo lakini najitahidi kwa uwezo wangu na maisha yangu yenyewe bado hayajakaa sawa. Cha kushangaza kuna mdogo ake wa kike aliechangia nae baba hasaidii hata cent wakati ana kazi nzuri tu yupo board ya utalii anapiga mpaka trip za itary, spain posho ndefu aparty from mshahara.
 
Ila wanawake wengine ni kasheshe tupu, majuzi nimechukua namba kwa dada mmoja, 1st time naongea nae baada ya salam nilimuuliza jina akanijibu bado mama yake hajampa jina nikaishiwa pozi nikamuacha aende. Hiyo juzi nikamuungia akatoa namba nikamuuliza jina akaniambia tuma 30K kwenye namba hiyo utaona jina na huku nitacomfirm lakwako vinginevyo fata mambo yako, nikataka kuongeza neno hata kabla sijalitamka nikaambiwa eeh babu ee ndio hivyo huna hela ya kutuma huna shughuli πŸ˜…. Kwa muonekano n mpole ila akiongea ndio wale wale.
 
Kwani Dada zenu wadogo zenu wakike shangazi zenu, wenyewe hudangiaga wapi! Unapomuona mwanamke huyu kausha damu na Dada zenu huko wanaitwa kausha damu na maji, na maranyingi wanyanyasaji wa wanawake na ndugu zao wakike nawao hunyanyaswa vivyo hivyo
 
Kama una mwanamke wa hivyo mshikilie sana usimwache aende zake, huku mtaani watu hoi Nrangoo
 
tatizo wanaume tunamchukulia mwanamke ni mpole kabla hatujamzoea

ukiona macho mlenda basi ni mpole
 
Huyo demu kama alikuwa akija anakufulia, anakupikia, na kukusafishia gheto mbona Naona iyo ni contribution kubwa tu toka kwake Natafuta Ajira
 
tatizo wanaume tunamchukulia mwanamke ni mpole kabla hatujamzoea

ukiona macho mlenda basi ni mpole
Huyu sio mpole hata kama alikuwa ananiigizia, amenitoka jumla na Ke wenye midomo yenye kuwatoka maneno mengi siwawezi bora nibaki na upwiru. Aliyoyaongea yote wadau waliokuwa wanapita waliyasikia maana aliongea kwa nguvu.
 
Wengi wakiwapata wanawake kama hao huwanyanyasa nakuonekana washamba, sasa wakiwaacha ndiyo hukutana na hao kausha ngozi
 
Kwani Dada zenu wadogo zenu wakike shangazi zenu, wenyewe hudangiaga wapi! Unapomuona mwanamke huyu kausha damu na Dada zenu huko wanaitwa kausha damu na maji, na maranyingi wanyanyasaji wa wanawake na ndugu zao wakike nawao hunyanyaswa vivyo hivyo
Kausha damu wapigwe vita bila kuangalia ni dada, shangazi au mama wa nani. Nasisitiza tena ukipata nafasi ya kumuumiza kausha damu acha legacy ya maana, fumua marinda tia mimba ingia mitini
 
Dada zangu ndo mmefikia huku, that's very rude, mna haki ya kukataa mtu mkitongozwa ila huku si kumkataa mtu, bali it shows mkataaji ana roho mbaya Donatila To yeye Mrs Van Shunie Nifah Leejay49
 
Kabisa
 
Tulia babu ushaambiwa huna shughuli πŸ˜†
 
[emoji3][emoji3][emoji3] noma sana. Kwamba fanya muamala utajua jina lake. Dah.! kausha damu wanakaba mpaka penati [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Am good dear ATM, umeamkaje? πŸ˜†
Wadada shikamooni heshima yenuπŸ™†πŸΎβ€β™‚οΈ, imagine ndugu zangu wa kike wenyewe wananiambia kuwa wanawake wengi mmekuwa wabaya sahivi mpo kimaslahi, hali ikiendelea hivi hivi, miaka inayokuja nahisi wanaume wengi tutashindwa kudeti, taasisi ya ndoa itakua hatarini, wengi zaidi tutaishia kuwa single Depal Ulweso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…