Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
- #81
Hapo utaitwa marioo, utaambiwa mwanaume dhaifu unakwepa majukumu n.k.. wanawake wanataka usawa lakini hawataki kubeba wajibu unaotokana na huo usawa.Hivi kumuomba mwanamke hela ni vibaya?
Kama anakupiga mizinga na wewe siku ukikwama unamuomba, hapo vipi?