2024 usimfanyie mwanamke financial favour yoyote

Kama wadada ni wabahili hivyo mbona asilimia kubwa ya biashara kubwa na za kati na utajiri, vinamilikiwa na sisi wanaume, labda in future uchumi wa dunia utashikiliwa na wanawake

Ulichoongea hata Mimi kinanishangaza, utakuta unafanya kazi na mdada ofisi Moja, mshahara Mmoja, hujawahi muonesha hata ishara ya kumtongoza, hamfahamiani vizuri, anakupiga kizinga, unajiuliza za kwake anazipelekaga wapi 100 others
Noma sana mzee baba. Kuna dada angu nimechangia nae mama ana binti anasoma chuo huwa namchangia ada ni hela kidogo lakini najitahidi kwa uwezo wangu na maisha yangu yenyewe bado hayajakaa sawa. Cha kushangaza kuna mdogo ake wa kike aliechangia nae baba hasaidii hata cent wakati ana kazi nzuri tu yupo board ya utalii anapiga mpaka trip za itary, spain posho ndefu aparty from mshahara.
 
Ila wanawake wengine ni kasheshe tupu, majuzi nimechukua namba kwa dada mmoja, 1st time naongea nae baada ya salam nilimuuliza jina akanijibu bado mama yake hajampa jina nikaishiwa pozi nikamuacha aende. Hiyo juzi nikamuungia akatoa namba nikamuuliza jina akaniambia tuma 30K kwenye namba hiyo utaona jina na huku nitacomfirm lakwako vinginevyo fata mambo yako, nikataka kuongeza neno hata kabla sijalitamka nikaambiwa eeh babu ee ndio hivyo huna hela ya kutuma huna shughuli 😅. Kwa muonekano n mpole ila akiongea ndio wale wale.
 
Kwani Dada zenu wadogo zenu wakike shangazi zenu, wenyewe hudangiaga wapi! Unapomuona mwanamke huyu kausha damu na Dada zenu huko wanaitwa kausha damu na maji, na maranyingi wanyanyasaji wa wanawake na ndugu zao wakike nawao hunyanyaswa vivyo hivyo
 
Aisee! Vipi Kwa sisi tuliobahatika kupata wanawake wanaotupenda na kutujali mkuu? Pesa wanatupa , hawatupigi mizinga, anachokipata yeye ni chetu sote na tunachopata wanaume ni cha wote pia?

Mimi ninachotaka kueleza wanaume wenzangu ni kwamba wanawake wazuri kwa maana ya kujali bado wapo na tunaishi nao mitaani
Kama una mwanamke wa hivyo mshikilie sana usimwache aende zake, huku mtaani watu hoi Nrangoo
 
Ila wanawake wengine ni kasheshe tupu, majuzi nimechukua namba kwa dada mmoja, 1st time naongea nae baada ya salam nilimuuliza jina akanijibu bado mama yake hajampa jina nikaishiwa pozi nikamuacha aende. Hiyo juzi nikamuungia akatoa namba nikamuuliza jina akaniambia tuma 30K kwenye namba hiyo utaona jina na huku nitacomfirm lakwako vinginevyo fata mambo yako, nikataka kuongeza neno hata kabla sijalitamka nikaambiwa eeh babu ee ndio hivyo huna hela ya kutuma huna shughuli 😅. Kwa muonekano n mpole ila akiongea ndio wale wale.
tatizo wanaume tunamchukulia mwanamke ni mpole kabla hatujamzoea

ukiona macho mlenda basi ni mpole
 
Nilishawahi kumpiga chini demu mmoja hivi kausha damu. Anakuja geto anakaa mpaka siku 3 achangii chochote. Anakula bure, anatumia umeme bure, maji bure, shughuli ya kitandani kwa 98% naifanya mimi cha kushangaza anataka niwe nampa hela wakati kimsingi yeye ndie anatakiwa kunipa hela mimi kwa sababu ndie anaenufaika zaidi. Nikampiga chini.
Huyo demu kama alikuwa akija anakufulia, anakupikia, na kukusafishia gheto mbona Naona iyo ni contribution kubwa tu toka kwake Natafuta Ajira
 
tatizo wanaume tunamchukulia mwanamke ni mpole kabla hatujamzoea

ukiona macho mlenda basi ni mpole
Huyu sio mpole hata kama alikuwa ananiigizia, amenitoka jumla na Ke wenye midomo yenye kuwatoka maneno mengi siwawezi bora nibaki na upwiru. Aliyoyaongea yote wadau waliokuwa wanapita waliyasikia maana aliongea kwa nguvu.
 
Aisee! Vipi Kwa sisi tuliobahatika kupata wanawake wanaotupenda na kutujali mkuu? Pesa wanatupa , hawatupigi mizinga, anachokipata yeye ni chetu sote na tunachopata wanaume ni cha wote pia?

Mimi ninachotaka kueleza wanaume wenzangu ni kwamba wanawake wazuri kwa maana ya kujali bado wapo na tunaishi nao mitaani
Wengi wakiwapata wanawake kama hao huwanyanyasa nakuonekana washamba, sasa wakiwaacha ndiyo hukutana na hao kausha ngozi
 
Kwani Dada zenu wadogo zenu wakike shangazi zenu, wenyewe hudangiaga wapi! Unapomuona mwanamke huyu kausha damu na Dada zenu huko wanaitwa kausha damu na maji, na maranyingi wanyanyasaji wa wanawake na ndugu zao wakike nawao hunyanyaswa vivyo hivyo
Kausha damu wapigwe vita bila kuangalia ni dada, shangazi au mama wa nani. Nasisitiza tena ukipata nafasi ya kumuumiza kausha damu acha legacy ya maana, fumua marinda tia mimba ingia mitini
 
Ila wanawake wengine ni kasheshe tupu, majuzi nimechukua namba kwa dada mmoja, 1st time naongea nae baada ya salam nilimuuliza jina akanijibu bado mama yake hajampa jina nikaishiwa pozi nikamuacha aende. Hiyo juzi nikamuungia akatoa namba nikamuuliza jina akaniambia tuma 30K kwenye namba hiyo utaona jina na huku nitacomfirm lakwako vinginevyo fata mambo yako, nikataka kuongeza neno hata kabla sijalitamka nikaambiwa eeh babu ee ndio hivyo huna hela ya kutuma huna shughuli 😅. Kwa muonekano n mpole ila akiongea ndio wale wale.
Dada zangu ndo mmefikia huku, that's very rude, mna haki ya kukataa mtu mkitongozwa ila huku si kumkataa mtu, bali it shows mkataaji ana roho mbaya Donatila To yeye Mrs Van Shunie Nifah Leejay49
 
Kabisa
Kama kuna thamani anayoingeza katika mahusiano yenu uyo ni sawa kabisa. Kuna wanawake wengine ukiondoa sex hakuna anacho offer kwenye mahusiano, hawa ni wale wanaamini kutoa mbususu pekee ndio uhalali wa kukubebesha gharama za shida na tamaa zake za kufukuzana na fashion za nguo na matoleo mapya ya iphone.
 
Ila wanawake wengine ni kasheshe tupu, majuzi nimechukua namba kwa dada mmoja, 1st time naongea nae baada ya salam nilimuuliza jina akanijibu bado mama yake hajampa jina nikaishiwa pozi nikamuacha aende. Hiyo juzi nikamuungia akatoa namba nikamuuliza jina akaniambia tuma 30K kwenye namba hiyo utaona jina na huku nitacomfirm lakwako vinginevyo fata mambo yako, nikataka kuongeza neno hata kabla sijalitamka nikaambiwa eeh babu ee ndio hivyo huna hela ya kutuma huna shughuli 😅. Kwa muonekano n mpole ila akiongea ndio wale wale.
Tulia babu ushaambiwa huna shughuli 😆
 
Ila wanawake wengine ni kasheshe tupu, majuzi nimechukua namba kwa dada mmoja, 1st time naongea nae baada ya salam nilimuuliza jina akanijibu bado mama yake hajampa jina nikaishiwa pozi nikamuacha aende. Hiyo juzi nikamuungia akatoa namba nikamuuliza jina akaniambia tuma 30K kwenye namba hiyo utaona jina na huku nitacomfirm lakwako vinginevyo fata mambo yako, nikataka kuongeza neno hata kabla sijalitamka nikaambiwa eeh babu ee ndio hivyo huna hela ya kutuma huna shughuli [emoji28]. Kwa muonekano n mpole ila akiongea ndio wale wale.
[emoji3][emoji3][emoji3] noma sana. Kwamba fanya muamala utajua jina lake. Dah.! kausha damu wanakaba mpaka penati [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Am good dear ATM, umeamkaje? 😆
Wadada shikamooni heshima yenu🙆🏾‍♂️, imagine ndugu zangu wa kike wenyewe wananiambia kuwa wanawake wengi mmekuwa wabaya sahivi mpo kimaslahi, hali ikiendelea hivi hivi, miaka inayokuja nahisi wanaume wengi tutashindwa kudeti, taasisi ya ndoa itakua hatarini, wengi zaidi tutaishia kuwa single Depal Ulweso
 
Back
Top Bottom