2024 usimfanyie mwanamke financial favour yoyote

2024 usimfanyie mwanamke financial favour yoyote

Wewe waambie tu dunia ipo kwenye ubepari sasa, kila mtu ale kwa jasho lake. Yaani watoke ndani watafute shughuli za kufanya tena shughuli halali. Hakuna free lunch kwa dunia ya kibepari, huyo Me wa kukupa tu kila siku yuko wapi, kwa uchumi upi, they MUST work.

Ila hiyo ya kuwapa mimba naipinga, usizae na kila unayemvua, kumbuka hiyo ni damu yako. Yaani hakikisha unayempa mimba ana vigezo vya kuwa mama wa watoto wako.
 
Maisha yapo hivi usimuumize MTU na usikubali MTU akuumize ikiwa utaona there's a such kind of a woman anahitaji kukuchota akili na PESA achana naye mapema usimpe tatizo na wewe usikubali akupe tatizo .


Na mwisho Kama kijana embrace the cleanest lifestyle/ kumbatia maisha Sana ya usafi hautojuta.

Personally Mimi huwa sitafuti mwanamke wa kuwa naye katika mahusiano ila huwa naishi mtindo wangu wa maisha ambao upo positive Kwa kila kitu. Ikiwa mwanamke atayapenda maisha yangu atakalibishwa na kupewa sheria zote.

Sex is overrated
 
[emoji3][emoji3][emoji3] noma sana. Kwamba fanya muamala utajua jina lake. Dah.! kausha damu wanakaba mpaka penati [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kausha damu ni hatari sana ila kengele ikalia kichwani ikiniambia hakuna boya hapa usikubali, kidogo nikakumbuka maneno ya dronedrake tunza kibunda chako.
 
Ujue nyie mnakosea sana
Hamjui timing kabisa
Mmekaa kizembe sana’ nyie wakuwaita madem ghetto.
Kahudumie, kalaghai mpk kaombe kuja kenyewe.. ukikalazimishia kuifata ghetto kanakuona pussy hunter’ wachache sana watakaokubali kuja, wengi ndio hao wanakwepa.
Ungekuwa blaza ungehit na kurun sana 😂
 
Hizo ndio nyodo zenyewe sio maringo alafu hapo hata hajatongozwa.
Hizo si nyodo Wala maringo mm naita ni roho mbaya, kwani kumjibu kistaarabu mtu aliekutongoza halafu humtaki inagharimu tsh ngapi, saa ingine mdada anakutukana bila sababu kisa umemtongoza tu kistaarabu, mpaka unajiuliza kwa tabia hii huyu mdada ataolewa au atadumu kwenye ndoa kweli Half american
 
Ila wanawake wengine ni kasheshe tupu, majuzi nimechukua namba kwa dada mmoja, 1st time naongea nae baada ya salam nilimuuliza jina akanijibu bado mama yake hajampa jina nikaishiwa pozi nikamuacha aende. Hiyo juzi nikamuungia akatoa namba nikamuuliza jina akaniambia tuma 30K kwenye namba hiyo utaona jina na huku nitacomfirm lakwako vinginevyo fata mambo yako, nikataka kuongeza neno hata kabla sijalitamka nikaambiwa eeh babu ee ndio hivyo huna hela ya kutuma huna shughuli [emoji28]. Kwa muonekano n mpole ila akiongea ndio wale wale.
Huyu huyu utakuta kwa mwanaume mwingine anakua mtiifu ushirikiano anatoa vizuri. Kuna wadada kama hujamvutia yaan unaweza dhania mna ugomvi hayo majibu atakayokupa. [emoji23][emoji23][emoji23] Pole
 
Huyu huyu utakuta kwa mwanaume mwingine anakua mtiifu ushirikiano anatoa vizuri. Kuna wadada kama hujamvutia yaan unaweza dhania mna ugomvi hayo majibu atakayokupa. [emoji23][emoji23][emoji23] Pole
Kumkataa kistaarabu mwanaume aliekutongoza kistaarabu, inagharimu tsh ngapi? Exception ni pale ambao usumbufu wangu umepitiliza, hapo unaeza nitukana, sasa mara ya kwanza tu kwa vile sijakuvutia na nimekutongoza, unanirushia mitusi hiyoo, hata kama huyo mdada ni mtiifu kwa mwanaume mwingine, huo utiifu utakua wa muda tu, hisia zikipungua, baadae tabia zake halisi zitaanza jionesha, kwa tabia hizo najiuliza kweli hata akiolewa atadumu kwenye ndoa Kelsea
 
Kumkataa kistaarabu mwanaume aliekutongoza kistaarabu, inagharimu tsh ngapi? Exception ni pale ambao usumbufu wangu umepitiliza, hapo unaeza nitukana, sasa mara ya kwanza tu kwa vile sijakuvutia na nimekutongoza, unanirushia mitusi hiyoo, hata kama huyo mdada ni mtiifu kwa mwanaume mwingine, huo utiifu utakua wa muda tu, hisia zikipungua, baadae tabia zake halisi zitaanza jionesha, kwa tabia hizo najiuliza kweli hata akiolewa atadumu kwenye ndoa Kelsea
Ukishajua watu tunatofautiana tabia wala hutashangaa. Mtu wa hivyo unaachana nae tu unafanya mambo mengine.
 
Kuna baadhi ya Wanawake hawana aibu kabisa, kuna mmoja ni mshangazi classmate wa sister nilikutana nae mjini tukabadilishana namba akaanza kunisifia nimekuwa mbaba mara kunitafuta mara kwa mara nikabaki kushangaa huyu vipi, haikupita wiki ananiletea shida zake ana anaomba 1m, nilicheka na nilivyomjibu sina mpaka leo hii hajanicheki tena.
Mbususu yenyewe walisgaharibu! Ulipie 1 m?
 
Wanaume walio wengi wanaingia gharama kuwafanyia wema wanawake kwa kuongozwa na huruma ya kuwaona wanawake ni innocent and honest creatures au kujitengenezea mazingira ya kupewa mbususu.

Sikilizeni vijana, wanawake wa sasa almost wote ni mataperi, shida wanazoombea msaada wa kifedha ni uongo. Ukiombwa hela kwa ajiri ya luku, kwenda hospitali, n.k jua ni uongo na iyo text ya kuombwa hela hautumiwi peke yako, text iyo iyo moja mnatumiwa sio chini ya wanaume 20 na wanaume watakaofanya muhamala basi wanawake wanaona mafala na kuwadhiaki sana uko kwenye story zao saluni na magetoni kwao.

2024 ukimtongoza demu akichomoa move on, don't keep friendly zone she will use you as a leverage for her financial needs. Kijana mwenzangu, 2024 date na mwanamke mwenye kazi halali inayomuingizia kipato ila hawa wanaamini kutoa mbususu pekee ndio uhalali wa kukubebesha shida zake piga hit and run. 2024 say no to "relationship kausha damu"

Washkaji zako wa kiume wakikwama hata kwa mambo yasiyo na lazima kama mfuko upo vizuri walinde maana na wewe siku ukikwama watukulinda ila wanawake hapana maana wanawake hawana msaada wowote mwanaume ukifulia.

Najua kuna wadangaji, washamba wa mapenzi na waliolishwa limbwata watakuja kutapika hapa, wapuuzeni hao. Kijana mwenzangu 2024 binti wa mtu akikuletea pigo za kausha damu piga mimba ingia mitini.
Sawa
 
Back
Top Bottom