ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Wewe waambie tu dunia ipo kwenye ubepari sasa, kila mtu ale kwa jasho lake. Yaani watoke ndani watafute shughuli za kufanya tena shughuli halali. Hakuna free lunch kwa dunia ya kibepari, huyo Me wa kukupa tu kila siku yuko wapi, kwa uchumi upi, they MUST work.
Ila hiyo ya kuwapa mimba naipinga, usizae na kila unayemvua, kumbuka hiyo ni damu yako. Yaani hakikisha unayempa mimba ana vigezo vya kuwa mama wa watoto wako.
Ila hiyo ya kuwapa mimba naipinga, usizae na kila unayemvua, kumbuka hiyo ni damu yako. Yaani hakikisha unayempa mimba ana vigezo vya kuwa mama wa watoto wako.