2024 usimfanyie mwanamke financial favour yoyote

2024 usimfanyie mwanamke financial favour yoyote

IMG_9890.jpg
 
Mkesha wa kuamkia leo krismasi nimeingia kiwanja kimoja hivi maeneo ya kijichi kinaitwa getway kuna demu kama miaka miwili hivi iliyopita nilikua namtomba rafiki yake yaani by then alikua shemeji yangu yule demu akaja kwenye meza yangu ana tako fulani hivi limetuna yaani lile natural sio la minyama uzembe basi akaanza kuniletea story mara anikatie viuno sikuonesha interest nae nikaona demu alivokua frastuated maana alifikiri nitababaika na lile tako punde kidogo akataka nimnunulie bia nikamwambia sina hela akaishia kunipa nasaha tu pale ooho natafuta ajira siku hizi umebadilika haupo kama zamani. Alijinunulia bia yeye mwenyewe kwa hela yake tukaishia kupiga story tu. Akabadilisha mbinu akataka tukalale wote akijua uko nitamuachia maokoto ila nikamchomolea pia. My brother, be a man of principles don't let your dick lead you.
Kama hichi ulichoongea si uongo, basi umetisha Natafuta Ajira
 
Kuna mmoja nilimpa 100k Juzi, jana ananiambia dada ake aliomba 25k so akampa, bila haya akanambia kwa lugha ya wizi nanukuu "mpnz wangu kwa hiyo nakudai 25k yangu niliyompa dada"
Ungemwambia naomba namba ya dada yako niwe nayo ili nikitaka kumtomba nimpigie tu aje.
 
Nyoosha maelezo, kusokota ile mbaya ndio umemaanishaje hapo? Wengine tunadate na wa tabora hebu usitumie code ngumu kwenye mambo ya kuwekana bayana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huu Mwaka 2024 aisee naende kua The Butcher, yaan huu Mwaka 2024 nitakua ni zaidi ya kauzu yaan ukauzu ukauzu mwanzo mpaka mwisho sichekicheki kirahisi ni mikausho mikali maana kuna Mjinga kaniletea uhuni Mwaka huu sasa tukiingia 2024 ataipatapata ndio atajua Mimi nina damu mchanganyiko iliyomixiwa moja imetoka kwa Mwamedi nyingine ikatoka kwa Yesu Mnazaleti zikachanganywa nikatokea Mimi

Huu Mwaka 2024 naenda kua bahiri Dunia nzima hakuna na hajawahi tokea yaan bahiri mwanzo mpaka mwisho

Huu Mwaka lazima nitimize malengo yote niliyoyapanga kuanzia mwanzo mpaka mwisho iwe kwa njia iwayo yoyote legally or illegally Mungu atanisamehe mwisho wa Mwaka Ila ndio lazima itimie

The beast is unleashed

Pole
 
Kama mwanaume kaamua mwenyewe kumpa mwanamke ama wanawake zake pesa anazotafuta kwa jasho lake shida ipo wapi? Na pia kama mtu hataki kumpa pesa mwanamke si anaacha tu mbona ni kitu rahisi sana jamani mana kutoa pesa si lazima.
Wanaume wengi hawatoi pesa kwa kupenda, wengine mnawashika akili mnawaloga na kuwapumbaza pia isitoshe mnawanyanyasia tamuu kama hela hatoi. Tupo nao vijiweni jioni na tunayafahamu mnayo wafanyia wezetu. Natunazidi kuwapa darasa muda siyo mrefu mnapigwa chini wanawake nikitendo cha muda tuu
 
Kuna baadhi ya wanaume huwa siwaelewi kitu kimoja hivi mwanamke anapokuomba pesa unakua umeshikiwa bunduki? Kama hamtaki kutoa kukataa huwa mnashindwa nini? Ajabu mnajazana humu kulalamikia wanawake kila leo kana kwamba huwa mnalazimishwa kwani nyie hamna akili? Ni kwamba hamjitambui? Hamna maamuzi nyie? Hamjui mnachokitaka?

Kuna wale wanaume wanatoa tena bila kuombwa pesa wanazozitafuta kwa jasho lao sasa shida yenu ni nini? Mnataka hizo pesa mngepewa nyie ama nini? Mnaona shida pesa wanazotafuta wanaume wenzenu wakiwapa mademu zao ama mnasumbuliwa na nini?? Huwa mnanishangaza sana.

Kutoa pesa sio lazima jaman tunasema humu kila leo kama hamtaki acheni hamlazimishwi.
 
Mwanamke lazima afundishwe kuwajibika hatuwezi kutengeneza kizazi cha kausha damu na omba omba kisa hamtulazimishi kuwapa hela. Wewe unaona sawa mwanamke hataki kufanya kazi anaishi mjini kwa kudanga na kuombaomba hela? Tukisema kila kitu kiruhusiwe kwa sababu tu watu wanafanya kwa hiyari yao tutakua na dunia ya ajabu sana. Turuhusu madawa ya kulevya sababu wananunuaji wananunua kwa hiyari yao? Turuhusu mashoga kwa sababu wanazibuliwa mtaro kwa hiyari yao?.
Hata ukiwa tajiri hautapampa mwanao kila anachotaka hata kama uwezi unao kuna mengine utamnyima ajue dunia haikupi kila kitu bure bure tu
Tatizo tunaowakumbusha kuwajibika mnatuona kama vile tunawaonea wivu kumbe sisi ndio tuna nia njema na nyie pamoja na generation yenu hao wanaosapoti muendekezwe kupewa hela ndio wanawalemaza akili na kualibu generation nzima maana ukialibu akili ya mwanamke umealibu akili ya jamii nzima maana mwanamke ndie mlezi anaei-programme akili ya mtoto tangu akiwa mdogo kabisa
 
Back
Top Bottom