Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kusemaje
Unakua umemkomoa mitiniSasa ukimpa demu mimba then uingie mitini hapo unakuwa umemkomoa nani
Hatari mkuu hiyo sura yakwako hapo kwenye avatorNaogopa sana wanawake wa tabora. Aisee wanasokota ile mbaya
Wanasokota una maana ganiNaogopa sana wanawake wa tabora. Aisee wanasokota ile mbaya
Kama hichi ulichoongea si uongo, basi umetisha Natafuta AjiraMkesha wa kuamkia leo krismasi nimeingia kiwanja kimoja hivi maeneo ya kijichi kinaitwa getway kuna demu kama miaka miwili hivi iliyopita nilikua namtomba rafiki yake yaani by then alikua shemeji yangu yule demu akaja kwenye meza yangu ana tako fulani hivi limetuna yaani lile natural sio la minyama uzembe basi akaanza kuniletea story mara anikatie viuno sikuonesha interest nae nikaona demu alivokua frastuated maana alifikiri nitababaika na lile tako punde kidogo akataka nimnunulie bia nikamwambia sina hela akaishia kunipa nasaha tu pale ooho natafuta ajira siku hizi umebadilika haupo kama zamani. Alijinunulia bia yeye mwenyewe kwa hela yake tukaishia kupiga story tu. Akabadilisha mbinu akataka tukalale wote akijua uko nitamuachia maokoto ila nikamchomolea pia. My brother, be a man of principles don't let your dick lead you.
Ndio maana nikakuuliza hilo swali ebo mbona haujielewi wewe?Umesoma mada au unadakia tuu comment za wanaume rijali.?
Ungemwambia naomba namba ya dada yako niwe nayo ili nikitaka kumtomba nimpigie tu aje.Kuna mmoja nilimpa 100k Juzi, jana ananiambia dada ake aliomba 25k so akampa, bila haya akanambia kwa lugha ya wizi nanukuu "mpnz wangu kwa hiyo nakudai 25k yangu niliyompa dada"
Nyoosha maelezo, kusokota ile mbaya ndio umemaanishaje hapo? Wengine tunadate na wa tabora hebu usitumie code ngumu kwenye mambo ya kuwekana bayana.Naogopa sana wanawake wa tabora. Aisee wanasokota ile mbaya
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nyoosha maelezo, kusokota ile mbaya ndio umemaanishaje hapo? Wengine tunadate na wa tabora hebu usitumie code ngumu kwenye mambo ya kuwekana bayana.
Soma kwanza mada afu uje nikujibuNdio maana nikakuuliza hilo swali ebo mbona haujielewi wewe?
Wanasokota nn?Naogopa sana wanawake wa tabora. Aisee wanasokota ile mbaya
Wanaume wengi hawatoi pesa kwa kupenda, wengine mnawashika akili mnawaloga na kuwapumbaza pia isitoshe mnawanyanyasia tamuu kama hela hatoi. Tupo nao vijiweni jioni na tunayafahamu mnayo wafanyia wezetu. Natunazidi kuwapa darasa muda siyo mrefu mnapigwa chini wanawake nikitendo cha muda tuuKama mwanaume kaamua mwenyewe kumpa mwanamke ama wanawake zake pesa anazotafuta kwa jasho lake shida ipo wapi? Na pia kama mtu hataki kumpa pesa mwanamke si anaacha tu mbona ni kitu rahisi sana jamani mana kutoa pesa si lazima.
Kuna baadhi ya wanaume huwa siwaelewi kitu kimoja hivi mwanamke anapokuomba pesa unakua umeshikiwa bunduki? Kama hamtaki kutoa kukataa huwa mnashindwa nini? Ajabu mnajazana humu kulalamikia wanawake kila leo kana kwamba huwa mnalazimishwa kwani nyie hamna akili? Ni kwamba hamjitambui? Hamna maamuzi nyie? Hamjui mnachokitaka?Wanaume wengi hawatoi pesa kwa kupenda, wengine mnawashika akili mnawaloga na kuwapumbaza pia isitoshe mnawanyanyasia tamuu kama hela hatoi. Tupo nao vijiweni jioni na tunayafahamu mnayo wafanyia wezetu. Natunazidi kuwapa darasa muda siyo mrefu mnapigwa chini wanawake nikitendo cha muda tuu
Mwanamke lazima afundishwe kuwajibika hatuwezi kutengeneza kizazi cha kausha damu na omba omba kisa hamtulazimishi kuwapa hela. Wewe unaona sawa mwanamke hataki kufanya kazi anaishi mjini kwa kudanga na kuombaomba hela? Tukisema kila kitu kiruhusiwe kwa sababu tu watu wanafanya kwa hiyari yao tutakua na dunia ya ajabu sana. Turuhusu madawa ya kulevya sababu wananunuaji wananunua kwa hiyari yao? Turuhusu mashoga kwa sababu wanazibuliwa mtaro kwa hiyari yao?.Kuna baadhi ya wanaume huwa siwaelewi kitu kimoja hivi mwanamke anapokuomba pesa unakua umeshikiwa bunduki? Kama hamtaki kutoa kukataa huwa mnashindwa nini? Ajabu mnajazana humu kulalamikia wanawake kila leo kana kwamba huwa mnalazimishwa kwani nyie hamna akili? Ni kwamba hamjitambui? Hamna maamuzi nyie? Hamjui mnachokitaka?
Kuna wale wanaume wanatoa tena bila kuombwa pesa wanazozitafuta kwa jasho lao sasa shida yenu ni nini? Mnataka hizo pesa mngepewa nyie ama nini? Mnaona shida pesa wanazotafuta wanaume wenzenu wakiwapa mademu zao ama mnasumbuliwa na nini?? Huwa mnanishangaza sana.
Kutoa pesa sio lazima jaman tunasema humu kila leo kama hamtaki acheni hamlazimishwi.