2025-2030 Tanzania kufanikiwa kufika nchi ya ahadi chini ya Rais Samia. Naiona Tanzania mpya

Hii si ndoto ila ndio uhasia ulivyo na kama mtu ataiona ni ndoto basi aifikirie Ile ndoto tamu sana ya kufurahisha ambayo inaacha kumbukumbu za furaha. Ninaamini baada ya 2030 tutakuja kusema YAMETIMIA, RAIS SAMIA AMEFANIKISHA.

Kufika nchi ya Ahadi sio jambo dogo na ugumu wake tunaona kwenye Biblia wana wa Israel wakipambana Kwa miaka 40 kufika nchi Ile yenye wingi wa maziwa na asali, ni safari ndefu iliyojawa na kukata tamaa lakini iliyoongozwa kwa nia, dhamira na utayari. Haikuwa jambo rahisi Kwa Wana wa Israel hivyo sitegemei litakuwa jambo rahisi kwa watanzania lakini ninaamini Rais Samia ndie Joshua wa Leo wa kutufikisha nchi ya Ahadi.

Kwa nini nimesema 2025-2030 Tanzania itafika nchi ya Ahadi chini ya Rais Samia

Kwanza, kufika nchi ya Ahadi ni mategemeo na matarajio ya watu na Rais Samia yupo Kwa ajili ya kutimiza matarajio yetu. Kutokana na hulka yake ya kupenda kutekeleza Ahadi tutafanikiwa kufika.

Pili, miradi mingi ya kimkakati iliyoanzishwa katika kipindi cha 2025 kuelekea 2030 itakuwa imekamlika. Mradi wa JNHPP na SGR ambayo wachumi wanasema italeta mwanga mpya kwenye maendeleo ya Taifa itakuwa imekamilika.

Tatu, Rais Samia atafanikiwa kutengeneza ajira nyingi sana Kwa vijana kupitia kilimo kama mpango wa Jenga Kesho iliyo bora utafanikiwa (Building Better Tomorrow -BBT). Kulinga na mpango wa BBT kilimo kinatarajiwa kuajiri vijana milioni mbili ifikapo 2030, Kitakuwa ni kiwango kikubwa Cha ajira kuwahi kutolewa.

Nne, Kuna uwezekano Tanzania ikawa ni kitovu kikubwa Cha uwekezaji, biashara na utalii mpaka 2030 Afrrika kulingana na sera za Rais Samia kufungua nchi.

Tano, Tanzania itakuwa imefanikiwa kufanya maboresho makubwa kwenye sheria na sheria kandamizi kurekebishwa. Zaidi ya yote kuelekea 2025-2030 Rais Samia amefanikiwa kutupatia katiba mpya na kufanikisha dhana nzima ya kufika nchi ya Ahadi.

Naomba nisisitize kwenye ili ieleweke vema, Rais Samia ndiye Joshua wa Leo wa Tanzania na ndie anatosha kutufikisha nchi ya Ahadi 2025-2030

Pia, niseme kwamba Uchaguzi mkuu wa 2025 utakuwa ni ama tuchague kupelekwa nchi ya Ahadi na Rais Samia au tupelekwe nchi ya kusadikika na wapinzani.
[emoji38] [emoji23] [emoji38] [emoji23] [emoji38]
 
Hadithi za abunwasi hizi, wote tunafahamu fika kuwa kwa kila Rais kipindi cha pili uwa wanapunguza kasi za kufanya maendeleo badala yake uwa ni kipindi cha kula Bata kwa sababu anaenda kustaafu urais.

Samia mpaka mwaka huu, hajaacha legacy yoyote ya kukumbukwa au project ya maana ndani ya awamu ya kwanza kama ilivyokuwa kwa Chuma Magufuli ambapo tuliona kasimamia project kama Serikali kuamia Dodoma, Daraja refu Afrika mashariki pale mwanza, meli kubwa ziwa Victoria MV Mwanza hapa kazi tu, JNHP, Magufuli bus terminal na baadhi ya project ambazo alizofanya kwa miaka 5 tu.

Lakini tangu huyu aingie hakuna project ya maana aliyofanya kwa miaka micheche ambayo itafanya akumbukwe. Mi binafsi sioni, zaidi ya kuona nyie Chawa wake mnatupigia kelele mitandaoni badala ya kumkumbusha afanye maendeleo.
Jambo tofauti kafanya ni ku act film ya royal tour, kugawa bandari baasi.
 
Mahakama, bunge na Serikali ni mihimili ya Dola inayojitegemea kabisa. Suala la uwekezaji wa bandari limetolewa uamuzi na mahakama ,Rais kama kiongozi wa Serikali hatakiwi kuingilia uamuzi huo Kwa vyovyote na suala hilo kuendelea kujadiliwa ili kupatiwa ufumbuzi nje ya mfumo wa mahakama ni ukiukwaji wa utaratibu. TEC, Lissu na wengineo wametoa maoni kama watanzania ambayo ni haki yao kikatiba.

Mikopo ya WB haitolewi tu kwamba umeomba Leo kesho upewe Kuna mchakato unapitia Sasa unaposema WB wamegoma kutoa Dola umejiridhisha mchakato huo umekamilika?

Nimeelezea uhalisia na ugumu wa kufika nchi ya Ahadi. Kama Rais akisema huu Uzi basi afahamu ni wa kumtia moyo, safari ya kufika nchi ya Ahadi hata kwa Wana wa Israel haikuwa rahisi kivile lakini walifanikiwa.
Usilinganishe ahadi za Mungu na Samia. Wana wà Israel ahadi ilitimia sababu ilitoka kwa Mungu.
 
Hii si ndoto ila ndio uhasia ulivyo na kama mtu ataiona ni ndoto basi aifikirie Ile ndoto tamu sana ya kufurahisha ambayo inaacha kumbukumbu za furaha. Ninaamini baada ya 2030 tutakuja kusema YAMETIMIA, RAIS SAMIA AMEFANIKISHA.

Kufika nchi ya Ahadi sio jambo dogo na ugumu wake tunaona kwenye Biblia wana wa Israel wakipambana Kwa miaka 40 kufika nchi Ile yenye wingi wa maziwa na asali, ni safari ndefu iliyojawa na kukata tamaa lakini iliyoongozwa kwa nia, dhamira na utayari. Haikuwa jambo rahisi Kwa Wana wa Israel hivyo sitegemei litakuwa jambo rahisi kwa watanzania lakini ninaamini Rais Samia ndie Joshua wa Leo wa kutufikisha nchi ya Ahadi.

Kwa nini nimesema 2025-2030 Tanzania itafika nchi ya Ahadi chini ya Rais Samia

Kwanza, kufika nchi ya Ahadi ni mategemeo na matarajio ya watu na Rais Samia yupo Kwa ajili ya kutimiza matarajio yetu. Kutokana na hulka yake ya kupenda kutekeleza Ahadi tutafanikiwa kufika.

Pili, miradi mingi ya kimkakati iliyoanzishwa katika kipindi cha 2025 kuelekea 2030 itakuwa imekamlika. Mradi wa JNHPP na SGR ambayo wachumi wanasema italeta mwanga mpya kwenye maendeleo ya Taifa itakuwa imekamilika.

Tatu, Rais Samia atafanikiwa kutengeneza ajira nyingi sana Kwa vijana kupitia kilimo kama mpango wa Jenga Kesho iliyo bora utafanikiwa (Building Better Tomorrow -BBT). Kulinga na mpango wa BBT kilimo kinatarajiwa kuajiri vijana milioni mbili ifikapo 2030, Kitakuwa ni kiwango kikubwa Cha ajira kuwahi kutolewa.

Nne, Kuna uwezekano Tanzania ikawa ni kitovu kikubwa Cha uwekezaji, biashara na utalii mpaka 2030 Afrrika kulingana na sera za Rais Samia kufungua nchi.

Tano, Tanzania itakuwa imefanikiwa kufanya maboresho makubwa kwenye sheria na sheria kandamizi kurekebishwa. Zaidi ya yote kuelekea 2025-2030 Rais Samia amefanikiwa kutupatia katiba mpya na kufanikisha dhana nzima ya kufika nchi ya Ahadi.

Naomba nisisitize kwenye ili ieleweke vema, Rais Samia ndiye Joshua wa Leo wa Tanzania na ndie anatosha kutufikisha nchi ya Ahadi 2025-2030

Pia, niseme kwamba Uchaguzi mkuu wa 2025 utakuwa ni ama tuchague kupelekwa nchi ya Ahadi na Rais Samia au tupelekwe nchi ya kusadikika na wapinzani.
[emoji7][emoji2956][emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ukishaambiwa hutakiwi kujihusisha na siasa ni kweli kuna kitu walimaanisha. Acha niishie hapo

Note kwamba kuna mambo YANAUDHI.
 
Kwa nini nimesema 2025-2030 Tanzania itafika nchi ya Ahadi chini ya Rais Samia

Kwanza, kufika nchi ya Ahadi ni mategemeo na matarajio ya watu na Rais Samia yupo Kwa ajili ya kutimiza matarajio yetu. Kutokana na hulka yake ya kupenda kutekeleza Ahadi tutafanikiwa kufika.

Pili, miradi mingi ya kimkakati iliyoanzishwa katika kipindi cha 2025 kuelekea 2030 itakuwa imekamlika. Mradi wa JNHPP na SGR ambayo wachumi wanasema italeta mwanga mpya kwenye maendeleo ya Taifa itakuwa imekamilika.
Our harbars 1st
 
Hii si ndoto ila ndio uhasia ulivyo na kama mtu ataiona ni ndoto basi aifikirie Ile ndoto tamu sana ya kufurahisha ambayo inaacha kumbukumbu za furaha. Ninaamini baada ya 2030 tutakuja kusema YAMETIMIA, RAIS SAMIA AMEFANIKISHA.

Kufika nchi ya Ahadi sio jambo dogo na ugumu wake tunaona kwenye Biblia wana wa Israel wakipambana Kwa miaka 40 kufika nchi Ile yenye wingi wa maziwa na asali, ni safari ndefu iliyojawa na kukata tamaa lakini iliyoongozwa kwa nia, dhamira na utayari. Haikuwa jambo rahisi Kwa Wana wa Israel hivyo sitegemei litakuwa jambo rahisi kwa watanzania lakini ninaamini Rais Samia ndie Joshua wa Leo wa kutufikisha nchi ya Ahadi.

Kwa nini nimesema 2025-2030 Tanzania itafika nchi ya Ahadi chini ya Rais Samia

Kwanza, kufika nchi ya Ahadi ni mategemeo na matarajio ya watu na Rais Samia yupo Kwa ajili ya kutimiza matarajio yetu. Kutokana na hulka yake ya kupenda kutekeleza Ahadi tutafanikiwa kufika.

Pili, miradi mingi ya kimkakati iliyoanzishwa katika kipindi cha 2025 kuelekea 2030 itakuwa imekamlika. Mradi wa JNHPP na SGR ambayo wachumi wanasema italeta mwanga mpya kwenye maendeleo ya Taifa itakuwa imekamilika.

Tatu, Rais Samia atafanikiwa kutengeneza ajira nyingi sana Kwa vijana kupitia kilimo kama mpango wa Jenga Kesho iliyo bora utafanikiwa (Building Better Tomorrow -BBT). Kulinga na mpango wa BBT kilimo kinatarajiwa kuajiri vijana milioni mbili ifikapo 2030, Kitakuwa ni kiwango kikubwa Cha ajira kuwahi kutolewa.

Nne, Kuna uwezekano Tanzania ikawa ni kitovu kikubwa Cha uwekezaji, biashara na utalii mpaka 2030 Afrrika kulingana na sera za Rais Samia kufungua nchi.

Tano, Tanzania itakuwa imefanikiwa kufanya maboresho makubwa kwenye sheria na sheria kandamizi kurekebishwa. Zaidi ya yote kuelekea 2025-2030 Rais Samia amefanikiwa kutupatia katiba mpya na kufanikisha dhana nzima ya kufika nchi ya Ahadi.

Naomba nisisitize kwenye ili ieleweke vema, Rais Samia ndiye Joshua wa Leo wa Tanzania na ndie anatosha kutufikisha nchi ya Ahadi 2025-2030

Pia, niseme kwamba Uchaguzi mkuu wa 2025 utakuwa ni ama tuchague kupelekwa nchi ya Ahadi na Rais Samia au tupelekwe nchi ya kusadikika na wapinzani.
Watakuwa wamebakiza nini maana kila kitu wamegawa bure ,ikifika huo tutakuwa tunajiuza wenyewe vitu vya kuuza kwa wazungu vitakuw vimeisha
 
Sawa Kwa maoni yako ila tambua Hadi Sasa hakuna lolote la maana alilofanya zaidi ya kutuletea mfumuko wa bei

Miladi yote iliyopo Sasa ni kazi ya Magufuli
 
Rais Samia ni zawadi Bora kutoka kwa Mungu kwetu sisi watanzania. 2030 utakapofufuliwa Uzi huu yatakuwa yametimia
 
Back
Top Bottom