2025-2030 Tanzania kufanikiwa kufika nchi ya ahadi chini ya Rais Samia. Naiona Tanzania mpya

[emoji38] [emoji23] [emoji38] [emoji23] [emoji38]
 
Jambo tofauti kafanya ni ku act film ya royal tour, kugawa bandari baasi.
 
Usilinganishe ahadi za Mungu na Samia. Wana wà Israel ahadi ilitimia sababu ilitoka kwa Mungu.
 
[emoji7][emoji2956][emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ukishaambiwa hutakiwi kujihusisha na siasa ni kweli kuna kitu walimaanisha. Acha niishie hapo

Note kwamba kuna mambo YANAUDHI.
 
Our harbars 1st
 
Watakuwa wamebakiza nini maana kila kitu wamegawa bure ,ikifika huo tutakuwa tunajiuza wenyewe vitu vya kuuza kwa wazungu vitakuw vimeisha
 
Sawa Kwa maoni yako ila tambua Hadi Sasa hakuna lolote la maana alilofanya zaidi ya kutuletea mfumuko wa bei

Miladi yote iliyopo Sasa ni kazi ya Magufuli
 
Rais Samia ni zawadi Bora kutoka kwa Mungu kwetu sisi watanzania. 2030 utakapofufuliwa Uzi huu yatakuwa yametimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…