2025 CCM haitapoteza jimbo hata moja, CHADEMA tulieni

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
1,809
Reaction score
1,692
WanaJF,

Heri ya Mwaka Mpya 2023!

Kwa wapenzi wa siasa nchini niambieni Jimbo gani liko hatarini kupotea mwaka 2025. Kwa mtizamo wangu naona wabunge wote waliochaguliwa majimboni 2020 wako vizuri na sioni hata jimbo moja litakalipotea.

CDM chagueni kazi zingine za kufanya ila mkidhani 2025 mtapata jimbo ni kuota ndoto za mchana. NGUMU KUMEZA

Msakila M Kabende
Kakonko.
 

Mbona sasa hivi wana majimbo yote halafu hakuna jipya?
 
Mkuu, ata intonation ya boss wako inaonesha anataka upinzani uwepo mpaka bungeni. Anatamani awe na akina Lissu, Mbowe, Msigwa, Heche na wengineo bungeni. Anataka kupata sauti ya pili, akosolewe arekebishe nchi isonge. Wewe una mawazo ya kale kama yule fedhuli aliyetangulia mbele ya haki
 
Mental illness is real - Master P.
 
Si ndio vuzuri kwa nyie CCM?
 
Unaongelea ukiwa Mrina?
 
Nchi kila kona ni viongozi wa ccm je tumepanda kimaisha au tumeporomoka?
 

Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Sasa sijui huo uchaguzi wa 2025 unaouongolea ni upi.
 
Ulevi wa mataputapu ni hatari kwa afya ya akili yako
 
Ukute na wewe zwazwa unaitwa baba nyumbani kama baba wengine
 
Umesahau kuwekwa namba za simu Ili tukujali kwenye uteuzi ujao😃😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…