Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
- Thread starter
- #101
Upo sahihiUpo sahihi hao wanaokupinga hawajui wanachokipinga
Uchaguzi una andaliwa na ccm
Wanao simamia huo uchaguzi ni ccm
Wanaotangaza matokeo ni ccm
Polisi wa ccm
Nec ya ccm vyombo vya habari vya ccm
Majeshi yote ni ccm
Yani kwa mfumo huu wa uchaguzi
Kama mpinzani hata pata jimbo hata moja basi ccm yenyewe iamue tu kutoa hayo majimbo
Lakini kama wata amua kufuata utaratibu wa mfumo huu wa uchaguzi uliokuepo
Hakuna mpinzani atakayepata
Jimbo kata au mtaa
Huo ndio ukweli
Hila kama mfumo wa uchaguzi ungekua kama Senegal
Bas ccm wangekua wapinzani