2025 CCM haitapoteza jimbo hata moja, CHADEMA tulieni

WanaJF,

Heri ya Mwaka Mpya 2023!

Kwa wapenzi wa siasa nchini niambieni Jimbo gani liko hatarini kupotea mwaka 2025. Kwa mtizamo wangu naona wabunge wote waliochaguliwa majimboni 2020 wako vizuri na sioni hata jimbo moja litakalipotea.

CDM chagueni kazi zingine za kufanya ila mkidhani 2025 mtapata jimbo ni kuota ndoto za mchana. NGUMU KUMEZA

Msakila M Kabende
Kakonko.
Nakazia niliyosema awali - kuja kwa Paul Makonda ndiyo kunaimaliza kbs CDM, ACT, Umoja, CUF nk

2025 CCM haikwepeki!
SSH for Tanzanian
 
Na wewe unaitwa BABA huko nyumbani kwako[emoji17]nasikitika Baba yako kupoteza Shahawa zake zilizokufanya uzaliwe wewe,heri angezimwaga chooni tu
 
WanaJF,

Heri ya Mwaka Mpya 2023!

Kwa wapenzi wa siasa nchini niambieni Jimbo gani liko hatarini kupotea mwaka 2025. Kwa mtizamo wangu naona wabunge wote waliochaguliwa majimboni 2020 wako vizuri na sioni hata jimbo moja litakalipotea.

CDM chagueni kazi zingine za kufanya ila mkidhani 2025 mtapata jimbo ni kuota ndoto za mchana. NGUMU KUMEZA

Msakila M Kabende
Kakonko.
Nyie wajinga wawili mnakera sanaa, kwani CCM wakipata wabunge wote kama sasa nini kinabadilika?
Mnaacha wizi na ufisadi?
Report ya cag haijawahi kubadilika kwa sababu ya wabunge wengi wa ccm.
 
WanaJF,

Heri ya Mwaka Mpya 2023!

Kwa wapenzi wa siasa nchini niambieni Jimbo gani liko hatarini kupotea mwaka 2025. Kwa mtizamo wangu naona wabunge wote waliochaguliwa majimboni 2020 wako vizuri na sioni hata jimbo moja litakalipotea.

CDM chagueni kazi zingine za kufanya ila mkidhani 2025 mtapata jimbo ni kuota ndoto za mchana. NGUMU KUMEZA

Msakila M Kabende
Kakonko.
Nitaanzisha #Watz tupimwe afya ya akili kwa lazima# maana naona idadi ya wenye matatizo hayo ni kubwa kuliko takwimu za kila kati ya Watanzania watano, basi mmoja ana tatizo la afya ya akili!!
 
Wakala anayetolewa nje na polisi muda wowote ili ccm wajipigie kura kirahisi.Inasikitisha sana Tanzania kufuata mifumo ya Rwanda,Burundi na Uganda.
 
Chizi sio lazima aokote makopo
WanaJF,

Heri ya Mwaka Mpya 2023!

Kwa wapenzi wa siasa nchini niambieni Jimbo gani liko hatarini kupotea mwaka 2025. Kwa mtizamo wangu naona wabunge wote waliochaguliwa majimboni 2020 wako vizuri na sioni hata jimbo moja litakalipotea.

CDM chagueni kazi zingine za kufanya ila mkidhani 2025 mtapata jimbo ni kuota ndoto za mchana. NGUMU KUMEZA

Msakila M Kabende
Kakonk
 
Chawa anaandika uzi akiwa anasubiria uji kama lanchi mguuni kandambili zimetoboka watu hohehae mpaka kichwani
 
WanaJF,

Heri ya Mwaka Mpya 2023!

Kwa wapenzi wa siasa nchini niambieni Jimbo gani liko hatarini kupotea mwaka 2025. Kwa mtizamo wangu naona wabunge wote waliochaguliwa majimboni 2020 wako vizuri na sioni hata jimbo moja litakalipotea.

CDM chagueni kazi zingine za kufanya ila mkidhani 2025 mtapata jimbo ni kuota ndoto za mchana. NGUMU KUMEZA

Msakila M Kabende
Kakonko.
Upo sahihi hao wanaokupinga hawajui wanachokipinga

Uchaguzi una andaliwa na ccm
Wanao simamia huo uchaguzi ni ccm
Wanaotangaza matokeo ni ccm
Polisi wa ccm
Nec ya ccm vyombo vya habari vya ccm

Majeshi yote ni ccm
Yani kwa mfumo huu wa uchaguzi
Kama mpinzani hata pata jimbo hata moja basi ccm yenyewe iamue tu kutoa hayo majimbo
Lakini kama wata amua kufuata utaratibu wa mfumo huu wa uchaguzi uliokuepo
Hakuna mpinzani atakayepata
Jimbo kata au mtaa
Huo ndio ukweli
Hila kama mfumo wa uchaguzi ungekua kama Senegal
Bas ccm wangekua wapinzani
 
Back
Top Bottom