ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 3,966
- 2,596
Umefunga mjadala kibabe sana [emoji120][emoji120]Mkuu, ata intonation ya boss wako inaonesha anataka upinzani uwepo mpaka bungeni. Anatamani awe na akina Lissu, Mbowe, Msigwa, Heche na wengineo bungeni. Anataka kupata sauti ya pili, akosolewe arekebishe nchi isonge. Wewe una mawazo ya kale kama yule fedhuli aliyetangulia mbele ya haki