2025 CCM out, mpende msipende. Vijana wamekata tamaa

2025 CCM out, mpende msipende. Vijana wamekata tamaa

Tatizo ni kwamba Chama Cha Mashetani hakitegemei uchaguzi.Uchaguzi ni HADAA tu.Siku zote hufanya uhuni mkubwa kwenye uchaguzi.
 
CCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anaweza kuwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana.
Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
Tuendelee kulala usingizi mzito,tuendelee kucheka na wale viumbe waharibufu wa msituni tukichoka tutaamka.Kwani tilisha jichelewesha kwa uchawa na kutofikiri hadi watoa misaada wametuchoka.Tutegemee hali kuwa mara tano ya vile imekuwa kipindi cha kucheka na nyani na kuishia kuvuna mabua kila mara.
 
CCM siyo chama cha kuanguka - uimara wake ni mkubwa sana na mitandao yake ni mipana mno
 
Back
Top Bottom