Guy of gisbon
JF-Expert Member
- Apr 22, 2024
- 564
- 803
wapinzani kuishinda cc inawezekana kama watapata mgombea anaekubalika nchi nzima. Pia wawe na mikakati ya hali ya juu na mbinu kali kushinda za ccm. Watumie vizuri madhaifu ya ccm hapo watashinda lakini sio kwa kutegemea vijana wa tz. Tz ina vijana wa hovyo ambao wengi wao hawajielewi na hawapigi kura na wengine wakipewa ela za vikundi wote wanapgia kura ccm halafu uchaguzi ukiisha wanaanza kulia hali ngumu.CCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anaweza kuwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana.
Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu