2025 CCM out, mpende msipende. Vijana wamekata tamaa

2025 CCM out, mpende msipende. Vijana wamekata tamaa

CCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anawezq kiwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana. Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
Wishful thinking. Hawa hawa viijana machawa wa CCM na ambao hata haki zao hawazijui ndiyo unasema wataitoa CCM? Hawa vijana ambao CCM ikiwaletea zuchu kwenye kampeni watamwaga kura?
Hawa vijana ambao wakiona msururu wa magari ya CCM wanafurahi na kukimbilia kuanzisha nyuzi kuwa CCM ni baba lao?
CCM haitoki leo wala kesho.
 
CCM kutoka madarakani Kwa miaka ya hivi karibuni ni uongo... Ukweli usemwe, siioni CCM ikitoka madarakani bila revolution.
CCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anawezq kiwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana. Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
 
hata mimi natumia simu mkuu!, umeeandika huku unafoka tatizo..šŸ˜‚
UmeeandikašŸ’¤šŸ’¤šŸ’¤
Umeandikaā˜‘ļø,,,Soma Mt 7:5,,Luka 6:41-42....!!
 
Hivi wasira atakuwa ni billionaire kiasi gani? Maana serikali karibu zote yupo na kundi La majangili wa rasolimali zetu.
 
CCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anawezq kiwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana. Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
Typical Hallucinations and delusions of Grandiose proportions :3Dance:
 
Vyama vinavyoongozwa na watu sampuli ya Lissu ndio CCM itoke madarakani? Thubutu.
 
Back
Top Bottom