2025 CCM out, mpende msipende. Vijana wamekata tamaa

2025 CCM out, mpende msipende. Vijana wamekata tamaa

Sio mbaya mtani, furahia maisha🤣
Uzuri mmoja napiga vitu nikiwa zangu ndani tu nikitoka hapa najirusha kitandani tu😅😅😅 nikiamka naangalia chakufuta na futa😅
 
CCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anaweza kuwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana.
Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
Huu ni mkwara
Serikali ya mitaa mlifanya nn??
 
Vijana hawahawa wa kibongo? Au mmekodi toka sayari ingine?
 
Wishful thinking. Hawa hawa viijana machawa wa CCM na ambao hata haki zao hawazijui ndiyo unasema wataitoa CCM? Hawa vijana ambao CCM ikiwaletea zuchu kwenye kampeni watamwaga kura?
Hawa vijana ambao wakiona msururu wa magari ya CCM wanafurahi na kukimbilia kuanzisha nyuzi kuwa CCM ni baba lao?
CCM haitoki leo wala kesho.
Itoke iende wapi
Lazima kuwe kuna sehemu imeandaliwa ili iende huko
 
Back
Top Bottom