2025 CCM out, mpende msipende. Vijana wamekata tamaa

Wakuitoa ccm madarakani kwa sasa hayupo umekuja na mihemko Yako sijui Toka wapi sahau jomba ccm big number in africa
 
CCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anawezq kiwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana. Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
Vijana gani waliochoka? Hivi uliona uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana. Vijana wengi walijiandikisha na wakawapigia CCM kura hata kama ilikuwa ya ndiyo au hapana
 
CCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anawezq kiwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana. Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
Endeleeni kujifariji. Stress zinaua. CCM itaendelea kubaki madarakani pamoja na usomi wako, na hao unaowasemea, vijana wasomi!! Na huo ndio uhalisia, upinzani bado sana.
 
😀 😀 umekata tamaa wewe halafu usitusemehe sisi wengine tunao kipenda hicho chama hadi unazeeka CCM ipo
 
Endeleeni kujifariji. Stress zinaua. CCM itaendelea kubaki madarakani pamoja na usomi wako, na hao unaowasemea, vijana wasomi!! Na huo ndio uhalisia, upinzani bado sana.
Uafrica wako ni tatizo
 
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
Endeleeni kujifariji. Stress zinaua. CCM itaendelea kubaki madarakani pamoja na usomi wako, na hao unaowasemea, vijana wasomi!! Na huo ndio uhalisia, upinzani bado sana.

TATIZO LA AFYA YA AKILI NI KUBWA MNO TANZANIA.
 
CCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anawezq kiwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana. Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
Kilichowakatisha tamaa ni kipi?
 
Hata wewe siku hizi ukipiga vitu ukaja humu naona tu kabisa huyu mwamba anachat ila anapiga mambo🤣🤣
Hahaha vitu vinafanya unaropoka hata yale usiyopenda yafahamike humu mtani😁😁😁
 
CCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anawezq kiwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana. Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
Kumshinda aliyeko madarakani si jambo rahisi.
 
CCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anawezq kiwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana. Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
Gentleman,
kijana mvivu aliechoka na kukata tamaa atafanya nini sasa zaidi ya kuamua kizembe kama gen z wa Kenya? 🐒
 
Back
Top Bottom