2025 na Usiku mzito wa maamuzi mazito kwa Jamhuri ya Kusadikika🤔

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Mwaka 2025 nimwaka wa wana kusadikika kuamini yakuwa Taifa lao chini ya idara zao bado wanaweza kufanya mambo hayakusadikika ktk masikio ya wana kusadikika.

Project zilianza pale wana elite ndani yakusadikika kumpoteza kipenzi chao. Inasemekana kwa hali ilivyokuwa hapakuwa na njia ilibidi elite wakubaliane na hali na kujifuta vumbi wasonge mbele. Huku wakiangalia makosa yalio jitokeza kuepuka madhara yanaweza kutokea mbeleni kwa kushindwa kwao.

Ikumbukwe team of elite chini ya mwavuli wa ma elite wengine wakubwa duniani walitoa ya moyoni na kuwapa ya sirini. Wakati sisi tunaona mti mmoja wenye matunda wao wanaona mti mmoja wenye matunda ya aina zote 🤔. Wakati elite wa nje wakiweza kutoka na kuingia unknown 🤔

Hili limewaweka ktk mvurugano hasa ukizingatia mmoja ya hawa elite anafanya screen yakila wanaye mtaka ndani yakusadikika.....🤔🤔🤔😭

Ndani ya ma elite wanaenda mbali zaidi nakufanya screen mpaka kwenye kale kataifa Tata Dunia🕊️...
ALAMA ya njiwa ni amani na Tumaini ila ALAMA ya njiwa nialama nzito zaidi ya haya tunayajuwa.....
 
For my view ni Bora Samia akakubali yaishe aachie wengine coz maadui ni wengi sana.
Ndio ndio!

Nadhani system ita create Chao's situation ili mtia nia mapema ajiondoe mwenyewe!!

Wale vijana na baba zao aliowatumbua hawatokaa kimya watatafuta pa kutokea ,na Ile kanda pendwa nayo itapambana ndio maana Ile Kanda imejazana Ile top ten ya Nec!wakati kijana mmoja wapo yupo peke yake kwenye top ten ya NEC!!

Watamharibia ili abwage manyanga kwa hizo chaos!!
 
Porojo tu! Hakuna wa kumzuia Rais na Amiri Jeshi Mkuu. Mungu pekee ndiyo mwenye mamlaka ya kumzuia. Hao sijui wazazi wa nani na watoto wao hawana chochote cha kufanya ni sisiminzi tu! Kwa kazi kubwa ya kuleta maendeleo anayofanya Mhe. Rais Dk. Samia Insh'Allah atashinda tena. 🙏🙏🙏
 
Mbona chuma alizuiwa!!?au hukuelewa kuwa alizuiwa!!?
Hebu soma hii

"Mzee Ruksa mlimpa awamu mbili,Mzee lodlofa mlimpa awamu mbili,na Mzee was msoga mlimpa awamu mbili,kwanini Mimi mnataka kunipa awamu moja!!!?akiwa kwenye kampeni 2020 au hukusikia!!!?

Kugombea kunahitaji Baraka toka Kwa system kama system haijakupa go ahead na ukatumia mamlaka Yako kama mwenyekiti ndio hivyo hivyo kama ilivyokua!!!

Toka usingizini mkuu!!
 
Mbona chuma alizuiwa!!?au hukuelewa kuwa alizuiwa!!?
Hebu soma hii

"Mzee mwinyi mlimpa awamu mbili,Mzee mkapa mlimpa awamu mbili,na Mzee kikwete mlimpa awamu mbili,kwanini Mimi mnataka kunipa awamu moja!!!?akiwa kwenye kampeni 2020 au hukusikia!!!?

Kugombea kunahitaji Baraka toka Kwa system kama system haijakupa go ahead na ukatumia mamlaka Yako kama mwenyekiti ndio hivyo hivyo kama ilivyokua!!!

Toka usingizini mkuu!!
Ujinga mtupu.
 
Porojo tu! Hakuna wa kumzuia Rais na Amiri Jeshi Mkuu. Mungu pekee ndiyo mwenye mamlaka ya kumzuia. Hao sijui wazazi wa nani na watoto wao hawana chochote cha kufanya ni sisiminzi tu! Kwa kazi kubwa ya kuleta maendeleo anayofanya Mhe. Rais Dk. Samia Insh'Allah atashinda tena. 🙏🙏🙏
Hakuna wa kumzuwia Mwenyekiti !
 
Project zilianza pale wana elite ndani yakusadikika kumpoteza kipenzi chao.
Acha kujidanganya, JPM was just an outsider kiufupi mfumo ulikuwa wa JK na umerudi kwa JK yeye ndio mwenye maamuzi kama SSH aendelee au lah ila sio hao team JPM, walishafutwa vitengo vyote so msijidanganye.

Just move on, ni either muanzishe chama chenu mumtoe au muendelee kulialia kwa miaka mingine 5!!
 
Kwahiyo January + Nape wametimuliwa na JK. ??
 
Back
Top Bottom