The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
Porojo tu! Hakuna wa kumzuia Rais na Amiri Jeshi Mkuu. Mungu pekee ndiyo mwenye mamlaka ya kumzuia.
Umesema vyema ila wewe mwenyewe hujajielewa kuwa umesema vyema..
Hakuna anayema binadamu atamzuia maana hakuna mwanadamu wala nguvu za kibinadamu za kumzuia Amiri Jeshi mkuu wako..
Huyu huyu Mungu wa mbingu na nchi ambaye kwa kinywa chako mwenyewe umekiri kuwa ndiye awezaye kumzuia..
Basi ni KWELI na ni AMINA kabisa, kuwa huyu MUNGU WA KWELI NDIYE ATAKAYEMZUIA kupitia kwa wanadamu..!!
Umeelewa sasa?