Sisi wa mchana, wacha tuendelee kusubiri kudra za Mwenzezi Mungu.Wana wajamuhuri yakusadikika watakuwa wamelala japo jamuhuri yao itakuwa haijalala kama ilivyobkawaida magazeti ndio yata waamsha na mitandao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi wa mchana, wacha tuendelee kusubiri kudra za Mwenzezi Mungu.Wana wajamuhuri yakusadikika watakuwa wamelala japo jamuhuri yao itakuwa haijalala kama ilivyobkawaida magazeti ndio yata waamsha na mitandao
Sawa tusubiri hiyo 2025 tuone huko CCM kama kuna mwenye jeuri ya kumuengua Samia. Huko mmejaa wanafiki tu kama mnataka kumtoa si muanzishe chama ila kufikiri anaweza tu kukaa pembeni ni kujidanganya.chawa sugu unapenda kujitutumua kwelikweli
utadhani kuna lolote unalojua
Mnapoteza muda tu, hii nchi ukishakua mwenyekiti wa CCM hakuna mtu ndani ya CCM anaweza kupindua lolote.kaa kimya hujui kitu
Mkuu leo umeamua kucomment ?
Sababu ya presha ya Lowassa na UKAWA ila kwa sasa wanaogopa nini? Kama Samia wanamuona ni fisadi je unataka kusema CCM hawataki Rais fisadi? Wataibaje wakipata Rais "mkali"?Mfumo ulikuwa wa JK 2015 lakini akashindwa kumptisha mtu wake Membe.
Mama huwa anasema yeye hana makundi yaani hajaegemea kundi lolote !Whatever ila watu wa JPM hawana chao tena tusidanganyane mitandaoni. Mama ameshang'oa wote
Na huo ndio ukweli wenyewe !Mnapoteza muda tu, hii nchi ukishakua mwenyekiti wa CCM hakuna mtu ndani ya CCM anaweza kupindua lolote.
Na kama sikosei alitumia jukwaa hili kitufahamisha mapema mno kwamba Makamu wa Rais atakuja kuapishwa.Labda kama humjui huyu jamaa!alitumia jukwaa hili hili kumuonya hayati jpm,Ben saanane na wote hawakusikia na Sasa hawapo!
Kwani January na Nape walikuwa team JPM?Whatever ila watu wa JPM hawana chao tena tusidanganyane mitandaoni. Mama ameshang'oa wote
Mwaka 2025 naona pia goli la mkono la Magufuli likifungwa. Mungu amlaani sana na ampe adhabu stahiki huko aliko.Mwaka 2025 nimwaka wa wana kusadikika kuamini yakuwa Taifa lao chini ya idara zao bado wanaweza kufanya mambo hayakusadikika ktk masikio ya wana kusadikika.
Project zilianza pale wana elite ndani yakusadikika kumpoteza kipenzi chao. Inasemekana kwa hali ilivyokuwa hapakuwa na njia ilibidi elite wakubaliane na hali na kujifuta vumbi wasonge mbele. Huku wakiangalia makosa yalio jitokeza kuepuka madhara yanaweza kutokea mbeleni kwa kushindwa kwao.
Ikumbukwe team of elite chini ya mwavuli wa ma elite wengine wakubwa duniani walitoa ya moyoni na kuwapa ya sirini. Wakati sisi tunaona mti mmoja wenye matunda wao wanaona mti mmoja wenye matunda ya aina zote š¤. Wakati elite wa nje wakiweza kutoka na kuingia unknown š¤
Hili limewaweka ktk mvurugano hasa ukizingatia mmoja ya hawa elite anafanya screen yakila wanaye mtaka ndani yakusadikika.....š¤š¤š¤š
Ndani ya ma elite wanaenda mbali zaidi nakufanya screen mpaka kwenye kale kataifa Tata Duniašļø...
ALAMA ya njiwa ni amani na Tumaini ila ALAMA ya njiwa nialama nzito zaidi ya haya tunayajuwa.....
Hii takataka yako naijuwa vizuri, nipo JF tangu inaitwa Jambo forum.Labda kama humjui huyu jamaa!alitumia jukwaa hili hili kumuonya hayati jpm,Ben saanane na wote hawakusikia na Sasa hawapo!
kumbe!Hii takataka yako naijuwa vizuri, nipo JF tangu inaitwa Jambo forum.
Utawala wa kidikteta wakosowaji wote wa Magufuli ilikuwa inajurikana wazi kitakachowakuta akiwemo Lisu.
Kifo cha Magufuli ni kibri chake Corona imesepa naye na watu kadhaa wa karibu yake, hizo zingine ni story tu na porojo.
Sasa hapo si alikuwa anawaambia wapiga kura... kwamba wasimpe awamu moja hujaelewa nini hapo ?Mbona chuma alizuiwa!!?au hukuelewa kuwa alizuiwa!!?
Hebu soma hii
"Mzee Ruksa mlimpa awamu mbili,Mzee lodlofa mlimpa awamu mbili,na Mzee was msoga mlimpa awamu mbili,kwanini Mimi mnataka kunipa awamu moja!!!?akiwa kwenye kampeni 2020 au hukusikia!!!?
Mtajitaja tu siku za usoni.ALAMA ya njiwa ni ALAMA ya amani ila ALAMA ya njiwa ina maana zaidi
Ginehe nkoiWaisraeli na wapalestina ni ndugu,
Watoto wa Ibrahimu š³
Au nasema uongo ndugu zanguni ??!
šššGinehe nkoi
Unajuwa watu wanao ona pasipo kusikia wala kuona? š je wajuwa kuna viumbe hatari katika midani ya kivita na intelligence na hawapo ktk majalada ya idara ?Kavimbiwa kitimoto anakuja kuwachezea akili kujifanya anaijuwa Tiss wakati watu wa idara wenyewe hawajui oparesheni za idara kama siyo kitengo chako.
Hawa ni machawa wa kuteka watu tu na hata hawajui wanafanyakazi chini ya nani na kwa faida gani.