2025 na Usiku mzito wa maamuzi mazito kwa Jamhuri ya KusadikikašŸ¤”

Porojo tu! Hakuna wa kumzuia Rais na Amiri Jeshi Mkuu. Mungu pekee ndiyo mwenye mamlaka ya kumzuia.

Umesema vyema ila wewe mwenyewe hujajielewa kuwa umesema vyema..

Hakuna anayema binadamu atamzuia maana hakuna mwanadamu wala nguvu za kibinadamu za kumzuia Amiri Jeshi mkuu wako..

Huyu huyu Mungu wa mbingu na nchi ambaye kwa kinywa chako mwenyewe umekiri kuwa ndiye awezaye kumzuia..

Basi ni KWELI na ni AMINA kabisa, kuwa huyu MUNGU WA KWELI NDIYE ATAKAYEMZUIA kupitia kwa wanadamu..!!

Umeelewa sasa?
 
Kavimbiwa kitimoto anakuja kuwachezea akili kujifanya anaijuwa Tiss wakati watu wa idara wenyewe hawajui oparesheni za idara kama siyo kitengo chako.

Hawa ni machawa wa kuteka watu tu na hata hawajui wanafanyakazi chini ya nani na kwa faida gani.
Labda kama humjui huyu jamaa!alitumia jukwaa hili hili kumuonya hayati jpm,Ben saanane na wote hawakusikia na Sasa hawapo!
 
chawa sugu unapenda kujitutumua kwelikweli
utadhani kuna lolote unalojua
 
Uandishi huu wa kijinga tulishaacha nao huku JF
Dogo mbona hkui?

We funguka tu JF itakulinda
 
SAMIA anatosha mpaka mwaka 2030.
 
kaa kimya hujui kitu
 
Siasa za Tanzania ni nyepesi sana na ziko wazi saana labda kama wenzetu mnajichanganya tu kwenye vichwa vyenu na kujitoa ufahamu.

Mama tunae mpaka hiyo 2030 maana wanachoamua CCM ndio maamuzi, wale jamaa ni politics wing ya CCM kazi yao ni kutekeleza wanachoamua mabwanyeye.

Kwenye suala zima la controling, check and balance kwa manufaa ya Taifa hilo halipo baadala yake kila mtu anatafuna fupa.

Hao elites wana nguvu gani yakumzuia mama 2025 ilihali walishindwa kumlinda kipenzi Chao mpaka akang'oka, Hao Elites kazi yao ni nini huku mifumo yote muhimu imepalyrize kitambo, mfumo mbovu wa Elimu, Afya, miundo mbinu, maisha duni ya watu, kukithiri kwa wizi na rushwa nk hivyo vyote toka awamu ya pili mpaka leo ni shida tu, hao Elites wameifanya nini nchi toka huko nyuma kutokomeza hayo.

Naamini mifumo yote iko compromise na chama, imebaki kama political wing ya chama na sio system kwa ajili ya wananchi na kulinda rasirimali.
 
Kavimbiwa kitimoto anakuja kuwachezea akili kujifanya anaijuwa Tiss wakati watu wa idara wenyewe hawajui oparesheni za idara kama siyo kitengo chako.

Hawa ni machawa wa kuteka watu tu na hata hawajui wanafanyakazi chini ya nani na kwa faida gani.
Kama Watu wamemtoa uhai mtu alie pata busu la Ayatollah jioni na ikagundulika inside wapo basi mambo mengine Bora kupita Dunia inaenda kwa kasi sana usije pitiliza kituo kwa hasira wakati njia yakwenda nyumbani unapita vichakani🤐 Kuna mahali neno tis limeandikwa😔?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…