2025 na Usiku mzito wa maamuzi mazito kwa Jamhuri ya Kusadikika🤔

Wana wajamuhuri yakusadikika watakuwa wamelala japo jamuhuri yao itakuwa haijalala kama ilivyobkawaida magazeti ndio yata waamsha na mitandao
Sisi wa mchana, wacha tuendelee kusubiri kudra za Mwenzezi Mungu.
 
chawa sugu unapenda kujitutumua kwelikweli
utadhani kuna lolote unalojua
Sawa tusubiri hiyo 2025 tuone huko CCM kama kuna mwenye jeuri ya kumuengua Samia. Huko mmejaa wanafiki tu kama mnataka kumtoa si muanzishe chama ila kufikiri anaweza tu kukaa pembeni ni kujidanganya.

Hata huyo Mpina alikatwa kwenye uchaguzi NEC taifa na mkoa kuna chochote mlifanya? Sikuona hata mjumbe kutoka kanda ya ziwa akisusia kikao!! Ila mkiingia mitandaoni mnadanganyana kuwa mna nguvu.
 
Mfumo ulikuwa wa JK 2015 lakini akashindwa kumptisha mtu wake Membe.
Sababu ya presha ya Lowassa na UKAWA ila kwa sasa wanaogopa nini? Kama Samia wanamuona ni fisadi je unataka kusema CCM hawataki Rais fisadi? Wataibaje wakipata Rais "mkali"?

If anything, CCM wananufaika zaidi rais akiwa dhaifu kuliko akiwa "mkali" so sioni sababu ya wao kumtoa kama mgombea.
 
Mwaka 2025 naona pia goli la mkono la Magufuli likifungwa. Mungu amlaani sana na ampe adhabu stahiki huko aliko.
 
Labda kama humjui huyu jamaa!alitumia jukwaa hili hili kumuonya hayati jpm,Ben saanane na wote hawakusikia na Sasa hawapo!
Hii takataka yako naijuwa vizuri, nipo JF tangu inaitwa Jambo forum.

Utawala wa kidikteta wakosowaji wote wa Magufuli ilikuwa inajurikana wazi kitakachowakuta akiwemo Lisu.

Kifo cha Magufuli ni kibri chake Corona imesepa naye na watu kadhaa wa karibu yake, hizo zingine ni story tu na porojo.
 
kumbe!
sio matatizo ya moyo tena?
 
Sasa hapo si alikuwa anawaambia wapiga kura... kwamba wasimpe awamu moja hujaelewa nini hapo ?
 
Kavimbiwa kitimoto anakuja kuwachezea akili kujifanya anaijuwa Tiss wakati watu wa idara wenyewe hawajui oparesheni za idara kama siyo kitengo chako.

Hawa ni machawa wa kuteka watu tu na hata hawajui wanafanyakazi chini ya nani na kwa faida gani.
Unajuwa watu wanao ona pasipo kusikia wala kuona? 😑 je wajuwa kuna viumbe hatari katika midani ya kivita na intelligence na hawapo ktk majalada ya idara ?
Ask CIA and Mossad huko idara hakuna mjomba wala undugu
 
Kila Raia wa Taifa la Tanzania kwa kuzaliwa ni mwana idara ya usalama. Nimwanajeshi na afisa wa usalama kama unataka kuamini omba vita itokee uwone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…