2025 pombe basi - ni kahawa majani ya chai na maziwa

usijali kiongozi nshajiapiza mbele ya kiongozi wa imani yangu, treni limewqka hili no wei back
 
Mimi tarehe 26 dec zilinifanya vibaya,nazan ndo nimeachana nazo hvyo na marafik nao nataka nisiwe nao
Kuna watu wana na ni jamaa zangu sana.ila kwa ulevi niliwakimbia kitambo.
Ila bado nikiwa mwenyewe nakunywa sana sipendi hii kitu. Nikisema nimeacha nitadanganya. Naendelea kuomba Mungu aniteer huku.

Najua mmoja ni member humu...mtanisamehe...nimeona marafiki na urafiki wa pombe sio watu.

Yaani ni ungese mkubwa sana. Yaani hata msingi nashindwa kuweka, pum.bavu
 
weka nia mkuu mambo yatakuwa sawa
 
Kama nilisema naacha pombe nisameeni waungwana gari limepona kumbe ilikua ni mateso ya hangover
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…