2025 pombe basi - ni kahawa majani ya chai na maziwa

Wacha tu Mkuu bora nirudi kwenye kitumbuwa tu ....mululu ni Majanga
shida ya pombe inaleta mazoea ya kijinga sana, yaani unaweza sema leo ngoja niende kachimbo flani nikagide tano tu then nirudi home kulala, yaani ukishagida hivyo vitano ni kama ndo umeutamanisha moyo, inakutaka uendelee zaidi na zaidi, yaani pombe ni kitu cha maajabu sana, mm kwa kwl mwaka huu ngoza nikaze nisiiguse kabisa, naamini nitatoboa tu, kwanza sitaki nichezee hela yangu kwa ujinga bora nifanye saving, pombe ina ufala sana
 
Unaacha pombe unahamia kwenye majani ya chai na kahawa, kiafya hapo bora ungeendelea na pombe tuu unajiweka kwenye risk ya kupata magonjwa ya moyo na kisukari
 
Unaacha pombe unahamia kwenye majani ya chai na kahawa, kiafya hapo bora ungeendelea na pombe tuu unajiweka kwenye risk ya kupata magonjwa ya moyo na kisukari
kiongozi karipoti haraka kituo cha polisi apo mtaani kwenu
 
Mi naona pombe kwa sasa imechukua nafasi ya dawa za kulevya,kataa au ukubali ndo ivyo,tofauti ni muundo tu,,mi situmii kabisa hii haramu,lkn huwa naona kwa jamaa zangu fulani zinavyowapelekesha,mtu hadi anajinyea,anaiba kwa ajili ya pombe!!,anahaidi kuacha lkn wapi!!,anakujibu kuwa ata yye hajui kwanini aachi!!,na hizi kampani bhana,mwenzako yuko radhi akununulie kadri iwezekanavyo lkn awezi kukupa hela!!,,na viroba vilipopigwa marufuku enzi hizo,siku hizi jamaa wanaotengeneza wamebuni vichupa vidogo,hivyo ni balaa,kimoja tu mtu yuko chakari,sijui vina alcohol asilimia ngapi,wenye kujua mtaniambia,napendeleza serikali ipige marufuku pombe zote.
 
mbowe na genge lake sasa watupishe maana kama kula wamekula sana hadi wamevimbewa watuachie nasisi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…