Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Kuna mambo mengi sana yanahitaji wazalendo pekee kuipeleka hii nchi hatua inayostahili. Ninamuomba Mungu awasaidie Watanzania kutambua hili na mwaka 2025 watumie uwezo wao wote wa akili, hekima na busara kufanya maamuzi yatakayoleta maendeleo katika hili taifa.
Ukisikiliza bunge, ukiona yanayoendelea kwenye maofisi, utakubaliana na hili. Mungu ibariki Tanzania.
Ukisikiliza bunge, ukiona yanayoendelea kwenye maofisi, utakubaliana na hili. Mungu ibariki Tanzania.