2025 Tanzania tunatakiwa kufanya uamuzi wa busara sana

2025 Tanzania tunatakiwa kufanya uamuzi wa busara sana

Kuna mambo mengi sana yanahitaji wazalendo pekee kuipeleka hii nchi hatua inayostahili. Ninamuomba Mungu awasaidie Watanzania kutambua hili na mwaka 2025 watumie uwezo wao wote wa akili, hekima na busara kufanya maamuzi yatakayoleta maendeleo katika hili taifa.

Ukisikiliza bunge, ukiona yanayoendelea kwenye maofisi, utakubaliana na hili. Mungu ibariki Tanzania.
Hama nchi
 
Kweli kabisa tumechoka na CCM sasa ni zamu ya Chadema.
 
Samia ndo kaharibu bunge? Acheni kujitoa upofu, mwendazake ndo aliharibu nchi kwa kunajisi uchaguzi hatimae tukapata wabunge wa ovyo.. kwahiyo ni muda wa payoff.

Sidhani kama tungekuwa na Bunge kama la 2010-2020, huu upuuzi ungeendelea. Manadiliko ya kweli siku zote yanaanzia kwneye bunge la jamhuri, huko kwingine ni mbwembwe.

Hivyo Mama uongozi anaujua sema anahitaji bunge makini lenye vichwa kama John Mnyika, Zitto kabwe, Tundu lissu, Mkosamali, Kafulila etc
Ficha upumbavu wako hanithi wewe
 
kama umemsikiliza estha bulaya, na uhalisia wa mambo yanavyoendelea kwenye ofisi za umma, namshauri mama akaze kamba, kabla ya kukumbuka shuke kukiwa kumekucha. watanznaia ile hofu imeshapotea, wanaweza kufanya lolote, na MUngu saidia wafanye lolote kwenye box la kura lakini.
Siyo watanzania hawa
 
Back
Top Bottom