Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ya sasa hawaibi kura tena maana kuiba unatumia akili pia, wao sasa wanapora uchaguzi mzima watakavyo.Mama ajitaidi kwakweli upepo mtaani siyo mzuri upande wake isije kushindakana hata kuiba kura za kumuongezea
Kwenye swala la madini unadanganya mchana kweupe . Na huo tunauita ni unfiki . Viongozi wa serikali na hasa Ccm siyo wasafi na wenye Nia nzuri na nchi . Ndiyo walioingia mikataba ya kishenzi. Na ndiyo hao hao mnawaita wazalendo. Na kuhusu nani anafaa . Mazingira ya uchaguzi si rafiki bali ni kudanganyia wafadhili . Kama Leo Samiah analo jukwaa la kujitangaza wakati wapinzi wake hawaruhusiwi hata mikutano midogo ya kamati kuu !! Unategemea unapoongozwa na cha ki communist eg (Ccm)@mtoto wa mchungaji ?!Mama naamini katika chanjo na Lisu pia anaamini katika chanjo.
Mama anaamini sana wazungu, Lisu pia wazungu kwake ni kila kitu.
Mama hajawai kuwa na bifu na Lisu, na Lisu pia hajawa kuwa na bifu na mama.
Mama hajalala sana au kabisa katika dini, Lisu pia hana historia ya kugusa kanisani.
Mama anataka madini yajulikane na wazungu maali yanapopatikana na jinsi yanavyo chimbwa, Lisu anatamani na kuamini kuwa madini yote ni yao wayachukuwe tu.
Mama anakauli zinazo badirika mdomoni, Lisu pia anakauli zinazo badilika sana.
Mama kama hana siasa na tabia za ujamaa, Lisu hataki hata kusikia neno ujamaa.
Mama anapenda Ulaya na kusafiri Ulaya, Lisu anapenda ulaya na anazunguka Ulaya na Marekani.
Baada ya similalitiz sasa tofauti zao:
Mama anatokea chama tawala, Lisu anatokea chama cha upinzani.
Mama ni mpole kuongea na vitendo, Lisu ni mkali, jaziba na hasira.
Mama haamini sama au kabisa katika katiba mpya, Lisu anaamini sana katika katiba mpya.
Mama anakijua kizungu mdomoni na kuandika lakini hajionyeshi, Lisu anatamani kizungu kiwe lugha ya taifa pakee bila kiswahili na anaona sifa kama wa TZ wote watajua kizungu.
Mama anaamini wanawake pekee ndiyo watakao mpa kura, Lisu anaamini nguvu ya umma ndiyo itamtoa.
Mama azungumzi kabisa mapenzi ya jinsia moja, Lisu anazungumzia sana mapenzi ya jinsia moja.
Umegonga kunako pointiMama ajitaidi kwakweli upepo mtaani siyo mzuri upande wake isije kushindakana hata kuiba kura za kumuongezea
Hauoni kwa kipimo cha kuvaa suti au kipimo cha kushupalisha mishipa na misuli ya shingo waongeapo? Vyama vya upinzani haviruhusiwa ha kunywa chai kwa pamoja sasa utaonaje!Sioni ntu sahihi ,kabisa upinzani labda waanze kuwatengeneza sasa ,ila asiwe mboe wala Lisu hakutakuwa na jipya ,upande wa pili ccm nao wanayakotoga huu ulikuwa ni muda wa kusoma alama za nyakati
sent from HUAWEI
KWA HIYO CCM WANAORUHUSIWA KUCHUKUA FOMU WATAKUWA WANAWAKE TU?Hauoni kwa kipimo cha kuvaa suti au kipimo cha kushupalisha mishipa na misuli ya shingo waongeapo? Vyama vya upinzani haviruhusiwa ha kunywa chai kwa pamoja sasa utaonaje!
Chadema ilishajifia,hivi kweli mtu analiwa na Amsterdam huko ndio nani anaweza kumchagua?Mama naamini katika chanjo na Lisu pia anaamini katika chanjo.
Mama anaamini sana wazungu, Lisu pia wazungu kwake ni kila kitu.
Mama hajawai kuwa na bifu na Lisu, na Lisu pia hajawa kuwa na bifu na mama.
Mama hajalala sana au kabisa katika dini, Lisu pia hana historia ya kugusa kanisani.
Mama anataka madini yajulikane na wazungu maali yanapopatikana na jinsi yanavyo chimbwa, Lisu anatamani na kuamini kuwa madini yote ni yao wayachukuwe tu.
Mama anakauli zinazo badirika mdomoni, Lisu pia anakauli zinazo badilika sana.
Mama kama hana siasa na tabia za ujamaa, Lisu hataki hata kusikia neno ujamaa.
Mama anapenda Ulaya na kusafiri Ulaya, Lisu anapenda ulaya na anazunguka Ulaya na Marekani.
Baada ya similalitiz sasa tofauti zao:
Mama anatokea chama tawala, Lisu anatokea chama cha upinzani.
Mama ni mpole kuongea na vitendo, Lisu ni mkali, jaziba na hasira.
Mama haamini sama au kabisa katika katiba mpya, Lisu anaamini sana katika katiba mpya.
Mama anakijua kizungu mdomoni na kuandika lakini hajionyeshi, Lisu anatamani kizungu kiwe lugha ya taifa pakee bila kiswahili na anaona sifa kama wa TZ wote watajua kizungu.
Mama anaamini wanawake pekee ndiyo watakao mpa kura, Lisu anaamini nguvu ya umma ndiyo itamtoa.
Mama azungumzi kabisa mapenzi ya jinsia moja, Lisu anazungumzia sana mapenzi ya jinsia moja.
Da sichangii kwa sasaChadema ilishajifia,hivi kweli mtu analiwa na Amsterdam huko ndio nani anaweza kumchagua?
Haya ni matusi kwa Tzn bora Mbowe
Unajua Lissu hana tofauti na late Legendary Pombe ila tofauti yao ni mpinzani na mwingine kashika muhimili.Tatizo la Lissu ni kujitengenezea kesi kwa kusema hovyo na kutoa taarifa za uongo akiwa ughaibuni. Anapaswa awe makini na kile anachokisema au taarifa anazopelekewa na wafuasi wake kama anataka kuwa potential presidential candidate.