2025 Tayari CCM wanatuletea mama Samia na CHADEMA tayari nao wanatuletea Lissu. Je! Mgombea yupi atatuvisha?

Hawezi kufanana... Lisu mambo yake yanasikitisha...
 
Na act watatuletea zito
Na chauma watatuletea mzee wa ubwabwa
 
Mama ajitaidi kwakweli upepo mtaani siyo mzuri upande wake isije kushindakana hata kuiba kura za kumuongezea
CCM ya sasa hawaibi kura tena maana kuiba unatumia akili pia, wao sasa wanapora uchaguzi mzima watakavyo.
 
Kwenye swala la madini unadanganya mchana kweupe . Na huo tunauita ni unfiki . Viongozi wa serikali na hasa Ccm siyo wasafi na wenye Nia nzuri na nchi . Ndiyo walioingia mikataba ya kishenzi. Na ndiyo hao hao mnawaita wazalendo. Na kuhusu nani anafaa . Mazingira ya uchaguzi si rafiki bali ni kudanganyia wafadhili . Kama Leo Samiah analo jukwaa la kujitangaza wakati wapinzi wake hawaruhusiwi hata mikutano midogo ya kamati kuu !! Unategemea unapoongozwa na cha ki communist eg (Ccm)@mtoto wa mchungaji ?!
 
Sioni ntu sahihi ,kabisa upinzani labda waanze kuwatengeneza sasa ,ila asiwe mboe wala Lisu hakutakuwa na jipya ,upande wa pili ccm nao wanayakotoga huu ulikuwa ni muda wa kusoma alama za nyakati

sent from HUAWEI
Hauoni kwa kipimo cha kuvaa suti au kipimo cha kushupalisha mishipa na misuli ya shingo waongeapo? Vyama vya upinzani haviruhusiwa ha kunywa chai kwa pamoja sasa utaonaje!
 
Kwa Sasa ni mapema kuzungumzia uchaguzi Mama Samia kakurupuka muda bado kutangaza kwamba yye atagomgea urais mwaka 2025 huu unakuwa ni uroho wa madaraka baada ya kuwaza kuijenga nchi kiuchumi unawaza uchaguzi na Hilo ndo tatizo la viongozi wetu wa kiafrika hakuna wanaloweza kulifanya kuzikwamua nchi zao kutoka kwenye umaskin wao wanatafuta njia kukaa madaraka wale keki ya taifa
Lissu na Mama Samia hawatufai kuongoza nchii hii hii nchi ngumu Sana inahitaji ushupavu wa juu Sana kiakili
 
Chadema ilishajifia,hivi kweli mtu analiwa na Amsterdam huko ndio nani anaweza kumchagua?

Haya ni matusi kwa Tzn bora Mbowe
 
Tatizo la Lissu ni kujitengenezea kesi kwa kusema hovyo na kutoa taarifa za uongo akiwa ughaibuni. Anapaswa awe makini na kile anachokisema au taarifa anazopelekewa na wafuasi wake kama anataka kuwa potential presidential candidate.
Unajua Lissu hana tofauti na late Legendary Pombe ila tofauti yao ni mpinzani na mwingine kashika muhimili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…