britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Kikwete yupo?Mim siamini kwamba reforms zinaenda kifanyika mwaka huu
Nani atafanya reforms,!? "Serikali inayoona kwamba ni lazima uchaguzi uwafanye wao kushinda jambo ambalo si sahihi."!?Baada ya Reforms Nina uhakika , Mwaka 2025 ni Mwaka sahihi wa Upinzani kuchukua nchi!
Sababu ziko wazi kabisa
1. Wananchi wameelimika zaidi
2. SERIKALI imeanza kuona ni lazima uchaguzi uwafanye wao kushinda jambo ambalo si sahihi
3. Wenye ushawishi kwenye Chama Tawala wanakufa wakaktu wanaotimiza miaka ya Kupiga kura Upinzani wanaongezeka kila mwaka
4. CCM imeshindwa mambo mengi ya msingi kuyatekeleza,
Bado tuna changamoto nyingi ! Reforms zikifanyika Lissu anatoka nje naye akawa kwa karatasi kazi ni ngumu sana !
Britanicca
Vipi kama wakigoma kuzifanya hizo reforms? Na ni nani atawalazimisha kuzifanya?Reforms zikifanyika
Ni bora bangi ihalalishwe kwa sababu unapoona ujinga kama huu wa hili bandiko tujue ni bangi tuu.Hao unaowataka ndio hao wanakimbia uchaguzi,watachukuaje nchi wakati hawapo kwenye mechi.Wengine ndio hao sera yao ni kugawa ubwabwa.Hawa ndio wanaoshindana na wale wanaojenga mabarabara,madaraja,mahospitali na zahanati kila pembe ya nchi.Nadhani kwa hili mumechanganyikiwa.Baada ya Reforms Nina uhakika , Mwaka 2025 ni Mwaka sahihi wa Upinzani kuchukua nchi!
Sababu ziko wazi kabisa
1. Wananchi wameelimika zaidi
2. SERIKALI imeanza kuona ni lazima uchaguzi uwafanye wao kushinda jambo ambalo si sahihi
3. Wenye ushawishi kwenye Chama Tawala wanakufa wakaktu wanaotimiza miaka ya Kupiga kura Upinzani wanaongezeka kila mwaka
4. CCM imeshindwa mambo mengi ya msingi kuyatekeleza,
Bado tuna changamoto nyingi ! Reforms zikifanyika Lissu anatoka nje naye akawa kwa karatasi kazi ni ngumu sana !
Britanicca
Hata utabiri wa kuzaliwa kwa Yesu ilipitiliza miaka 40. britanicca ni namba nyingine hii, huwa hakosei, utabiri wake hucheleweshwa tu.britanicca mtu wa code, mbona mambo yako ambayo unasemaga humu ndani huwa hayatokei? July imepita, sasa ni August, tutakuchukuliaje serious ikiwa taarifa zako karibu Ais zote ni speculations ?
LipumbaAna fwata nani tena kufa?
Kwa hiyo tuendelee tu kumtegemea Ndugu yetu britanicca na speculations zake hadi Jesus wa Nazareth / Jerusalem arudi, si ndio ? Au kuna jingine?Hata utabiri wa kuzaliwa kwa Yesu ilipitiliza miaka 40
Mimi nimekata tamaa baada ya kuona watu leo wamechukua fomu nadhani tujiandae kutiki tu😁😁Baada ya Reforms Nina uhakika , Mwaka 2025 ni Mwaka sahihi wa Upinzani kuchukua nchi!
Sababu ziko wazi kabisa
1. Wananchi wameelimika zaidi
2. SERIKALI imeanza kuona ni lazima uchaguzi uwafanye wao kushinda jambo ambalo si sahihi
3. Wenye ushawishi kwenye Chama Tawala wanakufa wakaktu wanaotimiza miaka ya Kupiga kura Upinzani wanaongezeka kila mwaka
4. CCM imeshindwa mambo mengi ya msingi kuyatekeleza,
Bado tuna changamoto nyingi ! Reforms zikifanyika Lissu anatoka nje naye akawa kwa karatasi kazi ni ngumu sana !
Britanicca
Chagua mwenyewe unadhani Nani afuate baada ya Job?Ana fwata nani tena kufa?
Mm sio muuajiChagua mwenyewe unadhani Nani afuate baada ya Job?
Kumuua Lipumba ni matumizi mabaya ya mauajiLipumba