GE2025 2025 Timinga ya Tanzania ku experience uongozi wa Chama tofauti

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Baada ya Reforms Nina uhakika , Mwaka 2025 ni Mwaka sahihi wa Upinzani kuchukua nchi!

Sababu ziko wazi kabisa
1. Wananchi wameelimika zaidi

2. SERIKALI imeanza kuona ni lazima uchaguzi uwafanye wao kushinda jambo ambalo si sahihi

3. Wenye ushawishi kwenye Chama Tawala wanakufa wakaktu wanaotimiza miaka ya Kupiga kura Upinzani wanaongezeka kila mwaka

4. CCM imeshindwa mambo mengi ya msingi kuyatekeleza,

Bado tuna changamoto nyingi ! Reforms zikifanyika Lissu anatoka nje naye akawa kwa karatasi kazi ni ngumu sana !

Britanicca
Ni kweli kwa viashiria hivyo kuna mwelekeo wa kushinda ila si Tanzania ambako watu wake akina Britaica ni maiti kwenenda. Tutasubiri sana.
 
Sababu ziko wazi kabisa
Pia inaonekana kuna upande umeingilia ugali wako na unaonekana una hasira,chuki, vinyongo plus jazba! Haiwezakani mabandiko yako kujaa utabiri wa vifo plus vitisho dhidi ya kundi fulani!
 
We mwanamtandao nini? Huko kwenye wale wahuni anaowaongelea polepole
 
Baada ya Reforms Nina uhakika , Mwaka 2025 ni Mwaka sahihi wa Upinzani kuchukua nchi!

Sababu ziko wazi kabisa
1. Wananchi wameelimika zaidi

2. SERIKALI imeanza kuona ni lazima uchaguzi uwafanye wao kushinda jambo ambalo si sahihi

3. Wenye ushawishi kwenye Chama Tawala wanakufa wakaktu wanaotimiza miaka ya Kupiga kura Upinzani wanaongezeka kila mwaka

4. CCM imeshindwa mambo mengi ya msingi kuyatekeleza,

Bado tuna changamoto nyingi ! Reforms zikifanyika Lissu anatoka nje naye akawa kwa karatasi kazi ni ngumu sana !

Britanicca
Umetoroka Mirembe? We kwl ni mwehu
 
Back
Top Bottom