Ni kweli kwa viashiria hivyo kuna mwelekeo wa kushinda ila si Tanzania ambako watu wake akina Britaica ni maiti kwenenda. Tutasubiri sana.Baada ya Reforms Nina uhakika , Mwaka 2025 ni Mwaka sahihi wa Upinzani kuchukua nchi!
Sababu ziko wazi kabisa
1. Wananchi wameelimika zaidi
2. SERIKALI imeanza kuona ni lazima uchaguzi uwafanye wao kushinda jambo ambalo si sahihi
3. Wenye ushawishi kwenye Chama Tawala wanakufa wakaktu wanaotimiza miaka ya Kupiga kura Upinzani wanaongezeka kila mwaka
4. CCM imeshindwa mambo mengi ya msingi kuyatekeleza,
Bado tuna changamoto nyingi ! Reforms zikifanyika Lissu anatoka nje naye akawa kwa karatasi kazi ni ngumu sana !
Britanicca
Aaaah fazaa ameshatupa taulo muacheni😂😂😂Lipumba
Pia inaonekana kuna upande umeingilia ugali wako na unaonekana una hasira,chuki, vinyongo plus jazba! Haiwezakani mabandiko yako kujaa utabiri wa vifo plus vitisho dhidi ya kundi fulani!Sababu ziko wazi kabisa
We mwanamtandao nini? Huko kwenye wale wahuni anaowaongelea polepolePia inaonekana kuna upande umeingilia ugali wako na unaonekana una hasira,chuki, vinyongo plus jazba! Haiwezakani mabandiko yako kujaa utabiri wa vifo plus vitisho dhidi ya kundi fulani!
Umetoroka Mirembe? We kwl ni mwehuBaada ya Reforms Nina uhakika , Mwaka 2025 ni Mwaka sahihi wa Upinzani kuchukua nchi!