2026! Mambo muhimu ya kuzingatia kiuchumi kabla ya kuanza ujenzi

Qs Cathbert

Member
Joined
Mar 20, 2023
Posts
86
Reaction score
167
Watu wengi tunafail ku accomplish ndoto zetu za kujenga au tunajenga na kushindwa kumaliza kwasababu tu ya kukosa plan nzuri ya gharama katika ujenzi

Stratergical way ya ku-win financial problem katika ujenzi ni kuwa na MATERIAL SCHEDULE ya jengo linalo jengwa,,, Material schedule ni document inayo classfy construction project material wise na labour. Katika kukuandalia material schedule nitakuainishia gharama za ujenzi basing on 5 main stages,,

1.Msingi (foundation)

Hapa utapata total amount ya msingi pamoja na mchanganuo wake wa material mwisho labour

2.Boma (Frames and walling)

Hapa utapata total cost ya Nguzo, Beam, Lintel kama zitakuepo pamoja na ukuta pia mchanganuo wake kama Cement, Nondo, mchanga, kotoko, tofali, formworks na all other materials plus Labour

3.Roof

Hapa pia utapata gharama zake na mchanganuo wa materials kama Bati, truss (mbao), nails plus labour

4. Doors and Windows

Sequence hii ndo ambayo itatumika hata katika execution ambapo katika stage hii huwa tunatanguliza grilles na gates

Hapa utapata cost zote pia na mchanganuo plus labour

5. FINISHINGS

Hapa utapata total cost yake ikiwa imegawanyika katka 3 phases Floor finishing, Wall finishing pamoja na Ceiling finishing . Pamoja na mchanganuo wake wa materials.

NB.Kufanikiwa kujua hio itakupa mwanzo mzuri wa kujiandaa nakufahamu unahitaji nini wakati gani.

Pia estimates hizi huwa zinadumu kwa kipind fulani cha muda, baada ya muda tena kama wa mwaka mmoja na kuendelea zinatakiwa kuwa updated tena ikisababishwa na kubadilika kwa gharama za materials n.k

Qs Cathbert Swai

Mob: 0625272770
 
King Charles wa Uingereza bado anaishi kwao.

Haya wewe maskini kwa nini ujihangaishe kujenga?

Kujenga ni kwa watu maskini.

Elon Musk anakaa kwenye apartment.

Maskini ndio wanahangaika kujenga kila kukicha.

Dunia tunapita, Kwa nini ujenge njiani?

Babu alijenga, Baba yako kajenga, wewe unajenga, na wanao wajenge. Kuna kipi special kwenye kujenga?
 
Duniani sote tunapita
Makazi ya kudumu yapo kwa Baba
We jamaa🫵😅😅
 
King Charles wa Uingereza bado anaishi kwao.

Haya wewe maskini kwa nini ujihangaishe kujenga?

Kujenga ni kwa watu maskini.

Elon Musk anakaa kwenye apartment.

Maskini ndio wanahangaika kujenga kila kukicha.

Dunia tunapita, Kwa nini ujenge njiani?

Babu alijenga, Baba yako kajenga, wewe unajenga, na wanao wajenge. Kuna kipi special kwenye kujenga?
Wewe unakaa kwa nani sasa
 
Unasema kujenga ni kwa watu masikini halafu unauliza wewe masikini kwanini ujihangaishe kujenga!

Sio kila mtu babu au baba yake alijenga. Au kama alijenga nyumba moja na watu wako 7 watagombania hio nyumba moja.
 
Watu wengi tunafail ku accomplish ndoto zetu za kujenga au tunajenga na kushindwa kumaliza kwasababu tu ya kukosa plan nzuri ya gharama katika ujenzi

Stratergical way ya ku-win financial problem katika ujenzi ni kuwa na MATERIAL SCHEDULE ya jengo linalo jengwa,,, Material schedule ni document inayo classfy construction project material wise na labour. Katika kukuandalia material schedule nitakuainishia gharama za ujenzi basing on 5 main stages,,

1.Msingi (foundation)

Hapa utapata total amount ya msingi pamoja na mchanganuo wake wa material mwisho labour

2.Boma (Frames and walling)

Hapa utapata total cost ya Nguzo, Beam, Lintel kama zitakuepo pamoja na ukuta pia mchanganuo wake kama Cement, Nondo, mchanga, kotoko, tofali, formworks na all other materials plus Labour

3.Roof

Hapa pia utapata gharama zake na mchanganuo wa materials kama Bati, truss (mbao), nails plus labour

4. Doors and Windows

Sequence hii ndo ambayo itatumika hata katika execution ambapo katika stage hii huwa tunatanguliza grilles na gates

Hapa utapata cost zote pia na mchanganuo plus labour

5. FINISHINGS

Hapa utapata total cost yake ikiwa imegawanyika katka 3 phases Floor finishing, Wall finishing pamoja na Ceiling finishing . Pamoja na mchanganuo wake wa materials.

NB.Kufanikiwa kujua hio itakupa mwanzo mzuri wa kujiandaa nakufahamu unahitaji nini wakati gani.

Pia estimates hizi huwa zinadumu kwa kipind fulani cha muda, baada ya muda tena kama wa mwaka mmoja na kuendelea zinatakiwa kuwa updated tena ikisababishwa na kubadilika kwa gharama za materials n.k

Qs Cathbert Swai

Mob: 0625272770
Malipo yako ni kiasi gani Kwa kazi yote hiyo boss
 
Unasema kujenga ni kwa watu masikini halafu unauliza wewe masikini kwanini ujihangaishe kujenga!

Sio kila mtu babu au baba yake alijenga. Au kama alijenga nyumba moja na watu wako 7 watagombania hio nyumba moja.
Ni ushauri tu sio ugomvi bwashee.😂
 
Malipo yako ni kiasi gani Kwa kazi yote hiyo boss
Inategemeana
Kuna mtu anakuja hana hata Ramani, Cha kufanya nasikiliza specifications za Ramani anayo tamani kuwa nayo then namlink na Architect nnae fanya nae kazi

Kama tayari upo na Complete Ramani hasa Floor plan, Section details, Structural design na Elevations itanirahisishia kuandaa actual estimates zitakazo kuwa accurate up to 95% katika utekelezaji.✅

Kwa Normal Residential Building nitakufanyia 350k
Kwa G+1 Building nitakufanyia 500k

Lakini kama utahitaji specific estimate kama Roof pekeake ama Item nyngne yyte nitakufanyia Bure

Pia kama unahitaj ushauri wowote kuhusu construction ni BURE
Hasa ukitaka kujua Aina ya materials Bora za kutumia katika Finishings, Roofing, Foundation au shida yyte ikiwa imetokea katika nyumba yako ukituma picha naweza kukupa ushauri mzuri wa namna ya kutibu.
 
Tofauti ya material schedule vs BOQ hua ni nini mkuu?
 
Well done!
Umeiweka ki QS zaidi. Lakini pia itahitajika watalaam (Engineers or architects) wa kukusaidia ku accomplish ujenzi kwa namna invyotakiwa
 
Inategemeana
Kuna mtu anakuja hana hata Ramani, Cha kufanya nasikiliza specifications za Ramani anayo tamani kuwa nayo then namlink na Architect nnae fanya nae kazi

Kama tayari upo na Complete Ramani hasa Floor plan, Section details, Structural design na Elevations itanirahisishia kuandaa actual estimates zitakazo kuwa accurate up to 95% katika utekelezaji.✅

Kwa Normal Residential Building nitakufanyia 350k
Kwa G+1 Building nitakufanyia 500k

Lakini kama utahitaji specific estimate kama Roof pekeake ama Item nyngne yyte nitakufanyia Bure

Pia kama unahitaj ushauri wowote kuhusu construction ni BURE
Hasa ukitaka kujua Aina ya materials Bora za kutumia katika Finishings, Roofing, Foundation au shida yyte ikiwa imetokea katika nyumba yako ukituma picha naweza kukupa ushauri mzuri wa namna ya kutibu.
Hii 350k na 500k ni gharama za QS? Hivi msingi kama wa ghorofa unaweza kuuacha muda gani kabla hujaendelea?
 
Mambo ya kujenga yamepitwa na wakati.kula maisha kijana.umekuja duniani siyo kujibanabana Kwa mateso Bali umekuja duniani ufurahie maisha mazuri.Utajenga ghorofa MWISHOWE utaliacha.Bora kula bata
 
Tofauti ya material schedule vs BOQ hua ni nini mkuu?
Nianze kukujibu kwa mfano wa UJENZI wa ukuta mmoja wenye size ya
3mHeight x 3mWidth kwa 150mm thick.

Kwenye BOQ Itakua hivi 👇
Square meters = 9
Rate = 30,000
T. Amount = 270,000

Kwa Material Schedule 👇
Blocks 81 x 1,500/= 121k
Cement 1x 20,000/= 20k
Sand (bucket) 8x2.5k= 20k
Labour 81 X 600= 48,600k
Profit = 50,000
T. Amount = 270,000/=

BOQ (BILL OF QUANTITIES)
Hii ni Construction Project Cost Estimate Document

MATERIAL SCHEDULE
Ni mchanganuo unao ainisha gharama ya MATERIALS pekeyake, LABOUR ya kufix hzo materials pekeyake na FAIDA ya mkandarasi ikiwa atakusimamia kujenga pekeake.

Naweza kusema Material Schedule ni Simplified form ya BOQ
 
Asante sana mkuu,🙏🙏
 
Samahani hapo unaweza kunikadiria gharama za Ujenzi wa msingi (foundation) kiwanja tambarare
Screenshot_20250910-215632.jpg
 
Back
Top Bottom