Mfano mkipigwa? Mtalaumu manji au refa?Mkuu.. Kipigo nachokiona tunachoenda kumpatia huyu mtoto wa Yanga Yetu.. nadhani itakua fundisho kwa timu za mikoani.
haya yatakuwa maajabu ya dunia, yaani tutafune MBAO ngumu za mpingo tushindwe kula pilau????Mfano mkipigwa? Mtalaumu manji au refa?
Mechi imeanza?haya yatakuwa maajabu ya dunia, yaani tutafune MBAO ngumu za mpingo tushindwe kula pilau????
huu utakuwa ujinga sasa!