23.10.2016: Toto Africa Vs Simba S.C

23.10.2016: Toto Africa Vs Simba S.C

Dakika ya 38: Kichuya anacheza vizuri baada ya kugongeana pasi na wenzake, anatoa pasi kwa Blagnon ambaye anabaki na kipa lakini anakuwa ameshaotea.

Dakika ya 37: Simba wanapata kona nyingine, lakini wanapiga na wanashindwa kuitum
 
Dakika ya 45: Mwamuzi wa akiba anaonyesha dakika 3 za nyongeza.


Dakika ya 45 + 2: Simba wanapiga pasi nyingi na kuonekana kuelewana.
 
Mikia leo mtakalishwa huko jiji la miamba. Hilo Toto tundu atawafunga sharubu zenu kwenye miamba na kuwamwagia maji toka ziwani. Mtaloweshwa leo.
Kuwa na akili wewe yanga netball club mechi ni uwanja wa Uhuru
 
HALF TIME

Mwamuzi anapuliza kipenga kukamilisha kipindi cha kwanza, Simba wanaongoa bao 1-0.
 
Kilindi cha pili mohamed Ibrahim out Ajib in, Blagnon out mavugo in, kazimoto out Ndemla in mapendekezo yangu
 
Back
Top Bottom